Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanamuziki wengi walipitia shule ya Franco. Michelino. Sam Mangwana. Madilu System na wengine wengi.
Mtakumbuka kuwa Fan Fan Mosesengo aliyekuwa anapiga solo kwenye bendi ya Mzee Makassy Dar-es-salaam alitokea TP Ok.
Fan Fan pia ndiye mwanzilishi wa Super Matimila ya Remmy.
Wimbo wa Bina ngai na respect ulirekodiwa na TP Ok mwaka 1981.
Baadaye bendi ya Ochestra Safari Sound chini ya Kasheba ikauimba kwa kiswahili
"Mara ya mwanzo umeniomba tucheze....."
niliwahi kusikia kuwa alifariki kwa Ukimwi, 1989 nadhani.
Ugonjwa ambao hata yeye mwenyewe aliupiga vita kupitia wimbo wake wa SADA (tafsiri ya AIDS kwa Francais).
All in all, Franco was great...
Nakumbuka wimbo wake wa Balo Baki ft. Mangwana...
Kuna pale penye wanaimba Kiswahili,
"...Mimi na wewe, kisa gani Mwanamboka?"
niliwahi kusikia kuwa alifariki kwa Ukimwi, 1989 nadhani.
Ugonjwa ambao hata yeye mwenyewe aliupiga vita kupitia wimbo wake wa SADA (tafsiri ya AIDS kwa Francais).
All in all, Franco was great...
Nakumbuka wimbo wake wa Balo Baki ft. Mangwana...
Kuna pale penye wanaimba Kiswahili,
"...Mimi na wewe, kisa gani Mwanamboka?"
Mkuu, huyu jamaa (Georges Kiamwangana) pana wakati alimfunika kabisa Luambo na Tabu Ley hasa alipokuja na mtindo (wimbo wa New generation).
Upigaji wake Saxaphone ulikuwa unatisha na alikuwa kama sikosei ana bendi 3 au nne huku Orch. Kiam aliyokuwa akiimbia Nyboma (namhusudu sana jamaa) na Lupua Lipua zikiwa Kenya. Baadhi ya wanamuziki walikuwa wakienda Kenya na kurudi Kinshasa na nashindwa kuelewa alikuwa akimanage vipi hayo yote.
Bendi nyingine alizokuwa akiwatengenezea miziki (wengine ndipo wanadai zilikuwa zake) ni Les Grands Maquisards, Orchestre Kiam, Bella Bella, Lipua Lipua, Les Kamale na Empire Bakuba. Nafikiri hata urafiki wa Pepe Kalle na Nyboma vs Dali Kimoko ulianzia huko. Na nilishaambiwa kuwa pale Kinshasa ndiyo alikuwa na ukumbi mzuri wa muziki na ukiweza kupata ruhusa upige pale, basi wewe ni MKALI maana ni wachache sana kama akina TPOK JAZZ ndiyo walikuwa wakipiga ukumbi wake. Pia alishiriki kwenye film ya La VIE BELLE iliyochezwa na Papa Wemba na alicheza kama mzee mwenye Shoe shiners kibao mtaani na wanakodisha vifaa vya kazi kwake na jioni wanamlipa.
Wimbo wa Baruti na Mikolo Mileki Ming ulinichengua sana. Infact ni kaka zangu ndiyo wasikilizaji na mie nikiiga tu maana nilikuwa dogo sana ila kumbukumbu yangu ni nzuri sana.
Tatizo simuelewi. I wish I did. Unaweza kuwa una dance to the tunes kumbe anaongea rubbish.
Nikisikia Franco kitu cha kwanza I do ni kumbumbuka babangu.... He was a Great fan of the man. Kuna roumors kua the guy was in loggerheads na Mobutu kisa mwanamke.... Kuna story moja nilisikia kua Mobuta alikua na his favourite car, Franzo akaenda kununua the same Car na kujaza taka ndani ya gari kisha akapita nayo nyumbani kwa Mobutu (as a way ya fimbo za wazi wazi...); Enways I was really young wakati nasikia hizi story.... I wonder kama zilikua na ukweli ndani yake.... Napenda wimbo wake wa "mamuu" (sijui nimepatia jina?) The song is about a lady kaenda nje wapo mbali na mume alafu mmoja wao anafanya infidelity....
AshaD,Franco alikuwa rafiki mkubwa sana wa Mobutu japo walizinguana kipind kile cha 'LA Aunthenticite',,ambapo alitaka kila mwenye majina yenye asili ya kifara abidilshe haraka,ilipelekea wanamzikwengi wa congo kutimkia ufaransa ambo yeye franco alikubali kw shingo na akapewa jina la L'OKANGA LA NDJU PENE LUAMBO LUANZO MAKIADI.
Mamuu..ameimba na yule dada anitwa okamana.
Kwa hio ilikua ni uongo kwamba walikua na biffu kwa ajili ya Mwanamke? Hicho kipindi cha "La Aunthenticite" is one of the things ambacho naona Mobutu alifanya la msingi thou alienda a bit extreme with the names, walikua lao moja na Leopold Senghor wa Senegal katika falsafa ya preserving African ethnically authentic....