nilisha dosha thread moja imaitwa BAKULUTUS nikasema kama kuna mti anaitaji nyimbo zote za TP Ok,AFRISA INTERNATIONALE ya Tabu ley,MADILU,SAM NGWANA NA NYINGIME NYIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIINGI,NITAFUTE.
Nilibahatika kuitembelea familia ya Franco mwaka juzi kinshasa ,walifurahi sana kuona Tz tupo nao na bado tuna wakumbuka,nikaweka na shada kwenye kaburi la Franco,mdogo wake Bavon marie marie siongo alifarik 1970kw accident.Walinipa collection zote za Franco.