Don Nzoko
JF-Expert Member
- Jan 6, 2020
- 308
- 306
kama vipi tuunde group kabisa la bakulutu😂😂kaka CHIMUNGURU HEBU NI CHECK KWENYE 0785452424 tuongee zaidi nilikuwa natafuta sana wadau wa hizi ngoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama vipi tuunde group kabisa la bakulutu😂😂kaka CHIMUNGURU HEBU NI CHECK KWENYE 0785452424 tuongee zaidi nilikuwa natafuta sana wadau wa hizi ngoma.
napataje aisee mkuu hizo kazi mm ni kijana ila mzee alifanya nipende sana za zaman 😂😂nilisha dosha thread moja imaitwa BAKULUTUS nikasema kama kuna mti anaitaji nyimbo zote za TP Ok,AFRISA INTERNATIONALE ya Tabu ley,MADILU,SAM NGWANA NA NYINGIME NYIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIINGI,NITAFUTE.
Nilibahatika kuitembelea familia ya Franco mwaka juzi kinshasa ,walifurahi sana kuona Tz tupo nao na bado tuna wakumbuka,nikaweka na shada kwenye kaburi la Franco,mdogo wake Bavon marie marie siongo alifarik 1970kw accident.Walinipa collection zote za Franco.
mtagute akiimba utashangaaa mok huyo kuona ametulua mpk alipokufa akawa mkubwa kuna maana yakeakh mkuu mambo yote Madilu,franco mi nasikia kama anaongea tu
dogo😂😂Huyu dogo ni moto wa kuotea mbali!!!