Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

Hicho ndicho alichokuwa anakitaka.
Chelsea hatuna uvumilivu huo
 
Duh, niliacha kutazama mechi za Chelsea muda , ila simu yangu haiachi kunipa notifications hata tukipigwa ngoja tuone anayekuja atafanya nini.
 
Back
Top Bottom