PreGE2025 Frank Nyalusi: G55 ni kikundi cha wasakatonge. Wamefeli hata kabla hawajaanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....

➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...

➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka Tonge..."

➡️Amtaka John Mrema aamuke toka usingizini Ili atambue kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA sasa na utawala wa Freeman Mbowe ulishapita, kampeni za uchaguzi zilishapita na uchaguzi ulishakwisha...
 
John Mrema hakujipanga kimaisha alijua nafasi aliyokuwa nayo pale Chadema HQ ilikuwa ya kudumu, sasa anahaha kama mbwa koko kutafuta makombo majalalani, amepauka utafikiri analala kwenye majivu kudadadadeq.
😅😅😅hizi siasa hizi.
 
Mrema hana misuli yoyote ya kisiasa, sana sana alibebwa na Mbowe kama kiroboto. Basi akajiona wa maana.
 
Kweli kabisa G55 walikua wazee wa heshima sn halafubwshuni Hawa wanajuita G55 wakati ni waganga njaa tu
 
Alichosema ni kweli maana Hata yeye anasaka Tonge vile vile kupitia upande aliouchagua.wanasiasa kazi yao ni siasa na sasa wapo ndio wapo kazini zaidi!
 
Hilo genge halijapokelewa vema na wanachama na wananchi, linaonekana ni kundi mamluki kuharibu misheni ya chama
 
View: https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....

➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...

➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka Tonge..."

➡️Amtaka John Mrema aamuke toka usingizini Ili atambue kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA sasa na utawala wa Freeman Mbowe ulishapita, kampeni za uchaguzi zilishapita na uchaguzi ulishakwisha...

Lissu na genge lake la kihuni ndiyo wanaoiua CHADEMA.Akili ndongo sana amezidiwa na G55 kwa kiasi kikubwa sana.
 
View: https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R
➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....

➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...

➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka Tonge..."

➡️Amtaka John Mrema aamuke toka usingizini Ili atambue kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA sasa na utawala wa Freeman Mbowe ulishapita, kampeni za uchaguzi zilishapita na uchaguzi ulishakwisha...

Hadi Sasa hoja za G55 hazijabiwa
 
Mchaga na siasa wapi na wapi?

Wao wanaangalia hela tu!
 
Back
Top Bottom