The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
😅😅😅hizi siasa hizi.John Mrema hakujipanga kimaisha alijua nafasi aliyokuwa nayo pale Chadema HQ ilikuwa ya kudumu, sasa anahaha kama mbwa koko kutafuta makombo majalalani, amepauka utafikiri analala kwenye majivu kudadadadeq.
Mrema hana misuli yoyote ya kisiasa, sana sana alibebwa na Mbowe kama kiroboto. Basi akajiona wa maana.John Mrema hakujipanga kimaisha alijua nafasi aliyokuwa nayo pale Chadema HQ ilikuwa ya kudumu, sasa anahaha kama mbwa koko kutafuta makombo majalalani, amepauka utafikiri analala kwenye majivu kudadadadeq.
Lissu na genge lake la kihuni ndiyo wanaoiua CHADEMA.Akili ndongo sana amezidiwa na G55 kwa kiasi kikubwa sana.
View: https://youtu.be/Fb3MoEVaBF0?si=wM-FkXAimnUm9d2R➡️Huyu ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Kanda ya Nyasa....
➡️Awaonya kutumia jina la G55 la wazee wa zamani, wazee wa heshima waliokuwa wanaipigania Tanganyika...
➡️Awapa jina sahihi linalowastahili kuwa wanapaswa kuitwa "Kikundi cha Wasaka Tonge..."
➡️Amtaka John Mrema aamuke toka usingizini Ili atambue kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA sasa na utawala wa Freeman Mbowe ulishapita, kampeni za uchaguzi zilishapita na uchaguzi ulishakwisha...
Hadi Sasa hoja za G55 hazijabiwa