babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Pumbavu gräde 1, matured bred ndo huyu Kuku tunaye hapa
“Kuna watu wanapozungumza, unagundua kuwa elimu inaweza kumpa mtu cheti bila kumpa uwezo wa kuchambua hoja. Demokrasia siyo mashindano ya kusifu mamlaka, wala katiba siyo pambo la hotuba. Kama hoja yako haiwezi kusimama mbele ya maswali magumu, usiite ukosoaji chuki—itaite nafasi ya kujifunza. Taifa halihitaji watu wanaopiga makofi kwa mazoea; linahitaji watu wanaoweza kutofautisha hoja na propaganda, ahadi na matokeo, pamoja na utii na uwajibikaji. Akili haipimwi kwa urefu wa sentensi, bali kwa uzito wa hoja.”View attachment 3691871
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wazalendo, Frank Rugwana, ametoa ombi kwa Mwanasheria wa Serikali, Wabunge na Watanzania kwa ujumla kuunga mkono mabadiliko madogo ya Katiba yatakayomwezesha Rais Samia Suluhu Hassan kugombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.
Rugwana amesema mabadiliko hayo yanayopendekezwa yanalenga kumpa Rais Samia nafasi ya kuendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi na kukamilisha mipango ya maendeleo inayohitaji kuungwa mkono na kuendelezwa.
Hoja hiyo inahusiana na masharti ya Ibara ya 40(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoweka ukomo wa vipindi vya kugombea urais kwa Makamu wa Rais anayeshika nafasi ya urais baada ya kifo cha Rais aliyekuwa madarakani. Kwa mujibu wa ibara hiyo, akishika urais kwa miaka mitatu au zaidi, anastahili kugombea kwa muhula mmoja tu.
Raia zitamnyonyoa sio hahah!!
Huyu inatakiwa atafutwe na achomwe mote hadharani siku ya maandamano ya tarehe 29.10.2026. Nadhani vijana mpo makini, hakuna kucheka na washenzi kama Hawa, maana ndio wanaoharibu nchi hii.View attachment 3691871