GE2025 Frank Ruhasha: Ukiwa CCM hauwezi kupigania wananchi, Magufuli hakuwaogopa ACT wala CHADEMA ni CCM wenzake

GE2025 Frank Ruhasha: Ukiwa CCM hauwezi kupigania wananchi, Magufuli hakuwaogopa ACT wala CHADEMA ni CCM wenzake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea ubunge wa jimbo la Buhigwe, Frank Ruhasha alipokuwa anazungumza na wananchi wa Kata ya Buhigwe - Bweranka, alisema:

"Hauwezi ukawa mbunge wa ccm alafu upambane na matatizo yanayoletwa na CCM, wapo wana ccm waliotaka kushughulika na wana CCM wenzao wakawekewa vikwazo.

Magufuli alipokuwa Rais alisema amekuja kuwatetea wanyonge, huo unyonge si uliletwa na CCM ndo maana akasema anakuja kuwatetea.

Mpina nae alimwambia Rais samia mimi bado nakudai lakini baada ya hapo wakamkata kwenye uchaguzi wa ndani."


 
Back
Top Bottom