marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kuna wakati nilishaa andika hapa ...
Huyu bwana Mdogo Frankie De Jong anaenda kuwa machezaji wa kawaidaa sana pale Barcelona tena kuna wakati atakua hachezi kabisa!.na pengine wakauza bila kufanya cha maana.
Ndaki ndaki wa Barcelona na Frankie walikuja hapa wakasema eti mrithi wa S.Busquet [emoji23][emoji23][emoji23]...
Unajua watu wanamasihara sana alafu kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba kuna wachezaji wakali ila wanafiti kwenye mfumo Fulani tu na kuna natural talent ,hawa hata mcheze cha ndimu kazi wanaliamsha dude na kwasasa wanahesababika hasa wazawa wa Ulaya...wengi mpira wa daftari.
Wachezaji wengi wa Ajax ni wachezaji wa mfumo ukitoa Roben Nerez yule mBrazil na Hakim Ziyech ,walio baki otee ni wa mfumo na ukichulia uweke kwenye timu yako yenye mfumo tofauti na wao hakuna anacho weza kufanya anakua wa kawaida sana mapaka utashangaa.
Wengi walitegemea Frankie De jong anaenda kumuweka bench Sergio4 kisa eti mzee ..ila kinacho onekana sasa Sergio mwenye mguu mmoja ni bora kuliko Frankie mwenye kiguu yote, sasa hivi anawekwa beki huko maana kiungo imemshinda sio Fankie yule wa Ajax tena alie mlaza na viatu Modric na Balon D'or yale.
Hana ile talent watu walio dhani anayo, lile dimba la chini Barcelona linahitaji zaidi ya kukaba Zaidi ya kupasia yani uwe full package kweli kweli.
Wanao angalia mpila live score sikutegemea na wala sitegemei wanielewe katika hili ila kwa kizazi cha sasa Busquet akiamua kucheza atacheza hata na miaka 70 sioni anaeweza muweka bench!