Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa
Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo
Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo