Franklin Boukaka

Franklin Boukaka

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa

Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo
 
Vibaraka walimuua kwa tuhuma za kushiriki kupanga mapinduzi, pia wakimuona km Communist sympathiser
 
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa

Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo

Franklin Boukaka alikuwa mzalendo na mwanamajumui wa kweli wa Afrika yetu (a true patriotic Panafricanist)
 
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa

Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo

Wakoloni weusi wa baada ya uhuru ni hawa wanatembea kwa mbwembwe juu ya makalio ya wanawake.
FB_IMG_1681189841254.jpg
 
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa

Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo

Huu wimbo tuliucheza sana ulipotoka kati ya sabini🤣
 
Afrika kuna laana huwa imekaa pale kwenye kile kiti inamsubiria mtu msafi aapishwe tu, duh! tunaanza kuona maajabu na kila rangi mpaka unabakia kushangaa. Sasa walio muuwa wao wako wapi? hawataishi milele wala kwenye sayari tofauti na hii. Nao wamekufa na vya Ulimwengu wameviacha humu humu vinawaadhibu wengine.
 
Usizunguke sana mkuu.....
Kwani NEY wa mtegoni ameambiwaje huko TASABA...🤔
Alafu usijizime data kana kwamba umesahau Ben time 8 alivyo potea....😪
 
Generation ya miaka ya 50 na 60 ilikuwa na mwamko sana kuhusu utaifa wao. Generation ya miaka ya 70 na 80 ilianza kusahau utaifa kidogo kidogo ikichukulia kuwa mambo yote yako sawa sawa. Generation ya kuanzia miaka 90 hadi leo ni yenye uraho na ubinafsi sana wala haijali kabisa kuuza nchi iwapo huilo litawafaidisha.

Hata hapa Tanzania, angalia sampo ya nyimbo za miaka hiyo

Halafu linganisha na nyimbo za leo
 
Back
Top Bottom