Franklin Boukaka alikuwa mzalendo na mwanamajumui wa kweli wa Afrika yetu (a true patriotic Panafricanist)Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa
Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo
Wakoloni weusi wa baada ya uhuru ni hawa wanatembea kwa mbwembwe juu ya makalio ya wanawake.Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa
Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo
Je ni tanzania hapo? Naona kama bendera ya Tanzania hapo chini kushotoWakoloni wa baada ya uhuru ni hawa wanatembea kwa mbwembwe juu ya makalio ya wanawake.View attachment 2701794
Yaani umeshindwa kuwaona hao chawa na kiongozi wao! Mulika na tochi utawaona vizuri na huyo mkoloni utamtambua.Je ni tanzania hapo? Naona kama bendera ya Tanzania hapo chini kushoto
Huu wimbo tuliucheza sana ulipotoka kati ya sabini🤣Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada ya Uhuru, ila akaja kukatishwa tamaa sana kuwa baada ya Uhuru, wale viongozi wa kiafrika waliochaguliwa ndio wakawa wakoloni wabaya zaid kuliko wazungu. Alitoa wimbo huu kuomboleza mwisho wa ndoto ya Afrika hapa
Wimbo huo ulimchukiza sana rais wa Kongo wakati huo na kusababisha Boukaka akanyongwa na Raisi huyo
Marian Nguabi akamuua kijana wa watu BoukakaHuu wimbo tuliucheza sana ulipotoka kati ya sabini🤣
Marian Nguabi=Marien Ngouabi.Marian Nguabi akamuua kijana wa watu Boukaka
Wala siyo pacha wake.Ni Nape huyo?