herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
mmmmh unayoongea hapana unadanganyaShow za akina Burna boy na wizkid na wengine kutoka ng'ambo huwa ni kubwa mpaka zina zidi uwezo wa mashabik wa kibongo, na ndo mana wakiperfom huku wana onekana kawaida,wabongo tumezoe zile,,nyosha mikono juu,,washa tochi ya simu na brabra kama hzo,,