Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha umbeya mtotokwani hujamuona messi wa simba
acha umbeya mtoto
Dunia haina usawa isee lol!!!
ndio nani huyo mkuu?mvuzi hula kwa urefu wa kamba yake
naona atakuwa analisukuma kama sehemu ya mazoezi kupata stamina!
Yawezekana kusukuma tairi ni sehemu ya mazoezi.
Dunia haina usawa isee lol!!!
nimecheka sana. hivi hii mikanda wanasemaga ya ubingwa wa dunia, inatambulika kidunia au wanajitengenezea tu?Cheka anakiwanda cha kusaga chupa za plastiki itakua ameokota hilo gurudumu anaenda kulisaga teh.
Ni kweli mkuu hayo ni mazoezi kwa ajiri ya kutafuta pumzi.
Swali langu ni jee ata May weather aka "mr $$" pia husukuma matairi ya trekta kupata pumzi?tena kwenye barabara ya magari?jibu ni hapana.
Kwa uwezo alio nao Cheka,ata angekua MKenya nadhani angekua anafanya mazoezi ndani ya gym ya kisasa.
Watu wanagawana pesa kwenye viroba alafu wanamichezo wetu hawana japo 30,000 every day kwa ajiri ya gym na chakula bora....!?