Fransis Cheka akisukuma tyre barabarani V/S Mayweather akiwa angani full bata!!!

Fransis Cheka akisukuma tyre barabarani V/S Mayweather akiwa angani full bata!!!

Kwa hiyo hao waliogawana pesa kwenye viroba ndo wawape wanamichezo pesa ya gym?

Hapana Mkuu, sifikiri kama alikuwa na maana hiyo. Hao wanagawana pesakwenye viroba wangeweza kusaidia katika kutengeneza mfumo. Tatizo ni za zaidi ya CHEKA anayechekwa hapa.

Sioni sababu ya kumcheka Cheka, ukishamcheka inakuwa umemsaidia nini yeye na wengineo kama yeye? kumbuka yeye ni mfano tu. Kuna wengi (washereheshaji) tunawacheka wamefulia wakati hawajawahi kuwa na kile walichostahili. Je Kosa ni la Cheka au mfumo wetu katika kulinda haki za wana sanaa na michezo?

Katika michezo na sanaa ukiondoa watu wachache kama kina "Diamond": basi wengi wa Entertainers wetu hawapati kile wanachostahili. Chukua mfano wa Uganda au Kenya tu...

Tuwasaidieiko siku mwanao na mwanangu wataangukia huko, kwani ni sehemu ya ajira
 
Back
Top Bottom