Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo huyo hana jipyaAkipandisha timu daraja huwa anafukuzwa,
Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja.
Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
Amegoma ile siyo penati.Alitaka hadi aone damu yule mzee wetu.Utopolo huyo hana jipya
kiukweli amelemewa 🐒Akipandisha timu daraja huwa anafukuzwa,
Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja.
Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
Tumuombee dua njema InshaAllah!🙏Atakuja kufia uwanjani siku
Mfumo wake ule kumtegemea Mpole unamcost
Alikuwa anaingia na kuna muda alitaka kuwarushia mpira wachezaji wake.😂😂😂Baada ya kuona movements za Kocha wa Pamba leo kwenye kile kibox, nikajiuliza hivi makocha kama hawa wasingekuwa wanawekewa vile vibox ili wasitoke nje yake, Sijui ingekuwaje? Nahisi wangekuwa wanazunguka pembeni ya kiwanja uwanja mzima kufuatilia na kutoa maelekezo kwa wachezaji wao kwa ukaribu zaidi.
Haya tueleze maajabu gani uliyoyaona wewe!Fredy Felix Minziro ni mchezaji pekee muhenga ambaye yupo katika game kama kocha mpaka Sasa na amefanya maajabu. Katika historia ya soka Tanzania Minziro ni Almasi inayoishi.
Minziro angeweza kuingia uwanjani na kuchezaBaada ya kuona movements za Kocha wa Pamba leo kwenye kile kibox, nikajiuliza hivi makocha kama hawa wasingekuwa wanawekewa vile vibox ili wasitoke nje yake, Sijui ingekuwaje? Nahisi wangekuwa wanazunguka pembeni ya kiwanja uwanja mzima kufuatilia na kutoa maelekezo kwa wachezaji wao kwa ukaribu zaidi.