Fred Felix Minziro ana mikosi?

Fred Felix Minziro ana mikosi?

Akipandisha timu daraja huwa anafukuzwa,

Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja.

Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
kiukweli amelemewa 🐒
 
Fredy Felix Minziro ni mchezaji pekee muhenga ambaye yupo katika game kama kocha mpaka Sasa na amefanya maajabu. Katika historia ya soka Tanzania Minziro ni Almasi inayoishi.
Amevunja historia ya kupandisha timu na kuzishisha
 
Baada ya kuona movements za Kocha wa Pamba leo kwenye kile kibox, nikajiuliza hivi makocha kama hawa wasingekuwa wanawekewa vile vibox ili wasitoke nje yake, Sijui ingekuwaje? Nahisi wangekuwa wanazunguka pembeni ya kiwanja uwanja mzima kufuatilia na kutoa maelekezo kwa wachezaji wao kwa ukaribu zaidi.
 
Alikuwa anaingia na kuna muda alitaka kuwarushia mpira wachezaji wake.😂😂😂
 
H
Fredy Felix Minziro ni mchezaji pekee muhenga ambaye yupo katika game kama kocha mpaka Sasa na amefanya maajabu. Katika historia ya soka Tanzania Minziro ni Almasi inayoishi.
Haya tueleze maajabu gani uliyoyaona wewe!
 
Baada ya kuona movements za Kocha wa Pamba leo kwenye kile kibox, nikajiuliza hivi makocha kama hawa wasingekuwa wanawekewa vile vibox ili wasitoke nje yake, Sijui ingekuwaje? Nahisi wangekuwa wanazunguka pembeni ya kiwanja uwanja mzima kufuatilia na kutoa maelekezo kwa wachezaji wao kwa ukaribu zaidi.
Minziro angeweza kuingia uwanjani na kucheza
 
Back
Top Bottom