makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Jamhuri Kihwelu??Fredy Felix Minziro ni mchezaji pekee muhenga ambaye yupo katika game kama kocha mpaka Sasa na amefanya maajabu. Katika historia ya soka Tanzania Minziro ni Almasi inayoishi.
Mourinho kila mahali anabeba makombe, sijui ni mpira gani wa kisasa unauzungumzia.Mpira unabadilika unakuwa wa kisasa yeye bado ana mbinu za kizaman kama Mourinho
Kuna kipindi alitaka arushe mpira mwenyeweDah!Mzee wetu leo ilibaki kidogo amwage chozi.Mungu amsaidie sana.🙏🤣🤣🤣
RC kayatimba . Yamemtokea puani sasa anaanza kulialia.Fadlu davids the guy is the genius and mastermind at the same time.
Yule "RC" chawa wa yanga kawaponza wenzie.
Kombe la maana n akiwa Manchester hayo mengine hamna kitu looser cupMourinho kila mahali anabeba makombe, sijui ni mpira gani wa kisasa unauzungumzia.
Alikuwa mfia timuMinziro angejikita kuwa Team Manager labda angekuwa na mafanikio zaidi kuliko kuwa kocha.
Kuna uzi niliwahi kuleta nikisema si kila mchezaji hata aonekana ana mafanikio gani uwanjani anafaa kuja kuwa kocha. Kuna vigezo muhimu vya kuzingatia cha kwanza kikiwa ni IQ ya mchezaji. Minziro alikuwa mchezaji mwenye nidhamu na juhudi ila hakuwa na IQ kubwa.