Fred Felix Minziro ana mikosi?

Fred Felix Minziro ana mikosi?

Pamba kufungwa na simba sio habari yakutisha

Na je, hiyo pamba kabla ya minzro ilicheza mechi ngapi na timu zipi na matokeo yake yalikuwaje, ili tuweze kumpima minziro baada ya kupewa timu.
 
Fadlu davids the guy is the genius and mastermind at the same time.

Yule "RC" chawa wa yanga kawaponza wenzie.
 
Minziro angejikita kuwa Team Manager labda angekuwa na mafanikio zaidi kuliko kuwa kocha.

Kuna uzi niliwahi kuleta nikisema si kila mchezaji hata aonekana ana mafanikio gani uwanjani anafaa kuja kuwa kocha. Kuna vigezo muhimu vya kuzingatia cha kwanza kikiwa ni IQ ya mchezaji. Minziro alikuwa mchezaji mwenye nidhamu na juhudi ila hakuwa na IQ kubwa.
 
Pamba kufungwa na simba sio habari yakutisha

Na je, hiyo pamba kabla ya minzro ilicheza mechi ngapi na timu zipi na matokeo yake yalikuwaje, ili tuweze kumpima minziro baada ya kupewa timu.
Kashinda mechi moja tu
 
Minziro angejikita kuwa Team Manager labda angekuwa na mafanikio zaidi kuliko kuwa kocha.

Kuna uzi niliwahi kuleta nikisema si kila mchezaji hata aonekana ana mafanikio gani uwanjani anafaa kuja kuwa kocha. Kuna vigezo muhimu vya kuzingatia cha kwanza kikiwa ni IQ ya mchezaji. Minziro alikuwa mchezaji mwenye nidhamu na juhudi ila hakuwa na IQ kubwa.
Alikuwa mfia timu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Back
Top Bottom