TANZIA Fred Jim Mdoe mwandishi wa zamani wa BBC afariki dunia

Fred Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kiharusi.

Source BBC Dira ya Dunia.

Rip Mdoe
Kwa kiharusi

Subiri COv-Idiot waje hapa waanze kusema korona

BBC wenyewe wamesema kiharusi lakini Cov-Idiots utasikia korona
 
Wekeni picha yake! Tido huna picha ya kaka yako uiweke hapa?
 
Wekeni picha yake! Tido huna picha ya kaka yako uiweke hapa?
nishaituma picha..nlikua naagizwa juice nampelekea huyu mzee pale kwake kisutu..his last words to me were "NJOO SIKU MOJA NIKUFUNDISHE UANDISHI WA BARUA YA KUOMBA KAZI,I SWEAR HUTOKOSA KAZI"..[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Rest in paradise.

Hizi ni siku za mwisho.

Lord help us!

We ignore all the signs that death can happen anytime and to anybody. hata wanaolindwa au kuangaliwa sana wanakufa. Hizi kelele za corona si za Tanzania tu. Pote ulimwenguni. Kwanini sisi tunaona maajabu ya watu kufa na ugonjwa huo? nani anayeweza kuzuia watu wasife na corona popote pale kwenye dunia hii kwa sasa?
 
Amekufa kwa kiharusi (siyo Corona) enyi wazushi msio na haya wala hiyana
Nikukumbushe tu hata corona inaweza sababisha kiharusi(stroke).Corona inaweza sababisha damu kuganda kwenye vimishipa vidogo kwenye ubongo hivyo kusababisha kiharusi.
 
Nikukumbushe tu hata corona inaweza sababisha kiharusi(stroke).Corona inaweza sababisha damu kuganda kwenye vimishipa vidogo kwenye ubongo hivyo kusababisha kiharusi.
Tunaambiwa wengine wanakwenda na "cardiac arrest" iliyosababishwa na malaria; kwa hiyo tusifikirie kabisa habari za corona!
 
Kwa kiharusi

Subiri COv-Idiot waje hapa waanze kusema korona

BBC wenyewe wamesema kiharusi lakini Cov-Idiots utasikia korona

Kila kifo mnakimbilia kusema siyo Corona. Kama hiki tayari umeshawahi seat ya mbele. Na nyimbo zile zile.

Idiot!

Tumeshasikia hata vya ajali za boda boda jombi. Ila usisahau:

"Hips don't lie."

Atalaumiwa sana dobi!
 
Typo anajiita jiwe anadhani makao makuu ya Mungu yako Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…