Tunaambiwa wengine wanakwenda na "cardiac arrest" iliyosababishwa na malaria; kwa hiyo tusifikirie kabisa habari za corona!
Profesa Mwandosya na Profesa Bisanda ni maprofesa kweri kweri!
Kama ilivyo kuwa kwa Maalim Seif:
Spade kwa jina lake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaambiwa wengine wanakwenda na "cardiac arrest" iliyosababishwa na malaria; kwa hiyo tusifikirie kabisa habari za corona!
Kiharusi alikuwa nacho siku nyingi, kapigwa na CoronaFred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi.
View attachment 1703291
Fred Mdoe enzi za uhai wake
RIP Mdoe
Hajapigwa na corona ni kiharusi kilizid t basi covi idiotsKiharusi alikuwa nacho siku nyingi, kapigwa na Corona
Inawezekana nakufahamnishaituma picha..nlikua naagizwa juice nampelekea huyu mzee pale kwake kisutu..his last words to me were "NJOO SIKU MOJA NIKUFUNDISHE UANDISHI WA BARUA YA KUOMBA KAZI,I SWEAR HUTOKOSA KAZI"..[emoji24][emoji24][emoji24]
Acha ujingaKwa kiharusi
Subiri COv-Idiot waje hapa waanze kusema korona
BBC wenyewe wamesema kiharusi lakini Cov-Idiots utasikia korona
Poleni wafiwaFred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi.
View attachment 1703291
Fred Mdoe enzi za uhai wake
RIP Mdoe
RIPFred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi.
View attachment 1703291
Fred Mdoe enzi za uhai wake
RIP Mdoe
Tanzania hakuna korona kunachangamoto ya upumuaji tuAmekufa kwa kiharusi (siyo Corona) enyi wazushi msio na haya wala hiyana
Kwa sisi ambao umri umesogeasogea kidogo ndio tunamwita nguli. Kwa kiwa tunamjua. Ulishawahi kusoma gazeti la Fahari? Kama utaweza kulipata basi lisome.Mwandishi wa habari nguli mbona hatumjui, nguli wa habari za wapi, Uingereza ? Amewahi kutangaza habari gani? Tanzania hakuna wanahabari nguli hapa!
kwenye historia hilo ndilo gazeti pekee la binafsi lililokuwepo kipindi cha Nyerere magazeti mengine yalkuwa ya dini tu kama Kiongozi nkFred Jim Mdoe na jarida lake maarufu la Fahari.
Fahari is fringe media.Kwa sisi ambao umri umesogeasogea kidogo ndio tunamwita nguli. Kwa kiwa tunamjua. Ulishawahi kusoma gazeti la Fahari? Kama utaweza kulipata basi lisome.
vijana wengi mafundi ufundi mdogo mdogo ukiwemo wa korroboi na suria na mapipa yaliyotoboka na ufundi baiskeli nk