1867 Universities Mission to Central Africa UMCA makasisi wake walifika Usambara wakamuomba Mtemi Kimweri maeneo ya Usambara lakini akaamua kuwaelekeza kilima cha Magila Mugeza Tanga
Mwanafunzi wa kwanza Tanganyika kusoma herufi ABC mpaka -Z ametokea Magila, Muheza Tanga
Nesi wa kwanza Tanganyika ametoka Magila, Mugeza Tanga
Chuo cha Ualimu cha kwanza Magila Muheza
1914 Magila ilitumika kueneza Kanisa huko Heru Juu, Kibondo, Kigoma, Kagera na Magharibi yote ya Tanganyika
Mfahamu Mr. Se-Kiko, jina alopachikwa na wenyeji kutokana na mtu huyu kupenda kutumia Kiko.
Historia ya chifu Magoroto, Wajerumani, Waingereza na waSwiss tangu mwaka 1890 -1956.
Shughuli za kiuchumi, kilimo, factory kubwa ya mawese, 1920 Amboni Group mkonge , elimu, utalii kwani Magoroto ipo mita 800 toka usawa wa bahari, 1956 Switzerland wakachimba bwawa la Magoroto
Fahamu Kuhusu Magila Msalabani historia kuanzia 1848
Magila kuanzia 1848 mlima Hegongo, mlima Magila, historia ya Mkuyu Vigego ( Walemavu, magonjwa sugu, wakoma) 1850, UMCA.
Kupokelewa kwa wageni, elimu msingi, Sekondari , chuo cha Ualimu waalimu wa kwanza waliokufa 1915-1919. Kitovu cha elimu Tanganyika ni Tanga na ndiyo mpaka sasa wenyeji na wakaazi wa mkoa huo wanaoongoza kwa elimu Tanzania ngazi mchanganyiko yaani wasomi sana mpaka wanaojua kusoma na kuandika.
Source: ITV Tanzania