Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Mbona si wengine tunaambiwa tukajiajiri huyu hawezi kujiajiri ?
 
Baba akienda kule nae anaenda ,akirudi huku nae anarudi,hongera zao kwa wanaosafiria nyota za baba zao
 
Wenye nacho wataongezewa makabwela endeleeni shika pembe wenye nacho wakamue maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…