Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Ndio maana mzee anapitapita kwa Mwenyekiti kumbe ana jambo lake!
 
Alitawala baba na mtoto atatawala.

Edward Lowasa atakuwa aliambiwa unga mkono juhudi halafu mwanao agombee ubunge then atateuliwa kuwA waziri.
 
SIo kazi Rahisi sana Brother; Siasa za Monduli ni tofauti na sehemu nyingine za Wamasai; Siasa za Monduli Lowassa au Sokoine Oriented Personnel, Kama wakikosekana inabidi anayekuja awe ni Mmasai wa Kuzaliwa Monduli, sio wakuja.
Huyo ni mbunge tayari kabisaa....in future nia ya urais tutaiona , Mungu amuweke hai mzee wake
 
Baada ya urais wa Zanzibar kugeuzwa kuwa wa kifalme, sasa CCM wanataka kugeuza majimbo ya uchaguzi nayo kuwa ya kifalme. Yajayo yanasikitisha sana aisee!!!!!🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
jamaaa alibeep kutaka ubunge akiwa upinzani akaona watu wameitikia fersh
sasa ndio anakuja rasmi sasa kupitia CCM na huko Monduli inavyoonekana ni kama duka lao wanaingia na kutoka wanavyotaka
ila mnyamwezi kwenye siasa ni kama amesukumiziwa huko na yeye ili jina la ukoo liendelee tu kutamkwa ndani ya nchi hii
 
Back
Top Bottom