Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

huu ni usulutan sasa, mahela yote hayo bado anataka tu, imefika wakat na masikin wafaid keki ya taifa! nifedhea kufanya jimbo mali yafamilia, masai shitukeni.

mkuu mbio zao wa urais ndani ya familia bado zipo pale pale... twende na muda tukiomba uzima
 
huu ni usulutan sasa, mahela yote hayo bado anataka tu, imefika wakat na masikin wafaid keki ya taifa! nifedhea kufanya jimbo mali yafamilia, masai shitukeni.
Ni mtanzania ana haki zote, bora huyu kuliko wahindi wenye passport mbili
 
Ila huyo Fred alikuwa nae Chadema na baba yake na akataka kugombea ubunge kupitia Chadema halafu akajitoa kwenye kugombea...
 
No wonder Baba alikuwa anajipitishapitisha na kujishekesha ..... Mpaka aliamua kujoggy!!
 
Back
Top Bottom