Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Fred Lowassa achukua fomu ya kuomba ubunge Monduli kupitia CCM

huu ni usulutan sasa, mahela yote hayo bado anataka tu, imefika wakat na masikin wafaid keki ya taifa! nifedhea kufanya jimbo mali yafamilia, masai shitukeni.
Kweli kabisa wananchi wa Monduli mpigeni chini huyo Lowassa.
 
Kumekucha
Ccm Inasema Nini
Ni Fursa Sawa Kwa Wote!!!😀😁😂
 
Iwe fundisho kwa wasaliti wote. Ule mualiko wa Mh. Rais kwa Lowassa una maana yake..
Watu kama hawa inapendeza kuwa mwakilishi wako. Shida nyingine za jimboni ana uwezo hata wa kumgongea simu Rais, na Rais anapokea hata akiwa amelala. Wanasiasa wenye njaa pumbavu sana.

Ndio maana huwezi kumsikia mtu kama Chenge anachangia upuuzi bungeni, hana sababu ya kumuimpress bungeni mtu ambaye muda wowote akiamua wanaongea, iwe kwa simu ama live.
 
IMG_20200705_223120.jpg
 
Watu kama hawa inapendeza kuwa mwakilishi wako. Shida nyingine za jimboni ana uwezo hata wa kumgongea simu Rais, na Rais anapokea hata akiwa amelala. Wanasiasa wenye njaa pumbavu sana. Ndio maana huwezi kumsikia mtu kama Chenge anachangia upuuzi bungeni, hana sababu ya kumuimpress bungeni mtu ambaye muda wowote akiamua wanaongea, iwe kwa simu ama live.
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom