Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Mshamba tu huyo hana hela yoyote ya maana nimpikie majungu wakuja huyo...hela yote inaishia kwenye kujitangaza aonekane tajiri mkubwa...yani hivyo viduka vya lonya ndio mnaona jamaa kayatoa? alafu hayo mambo ya simba usizungumze kwa wajanja utachekwa hiyo ni deal ya mwenye simba mwenyewe.

mitandao haisahau tutakuja kuwakumbusha.

Hebu tuoneshe chako mkuu tuone kama unamfikia hata robo
 
Fred Vunjabei(ukinga ni mwingi sana) huyu jamaa anaweza akakufanya kijana mwenzake ukajiona huna ramani yoyote ya maana hapa duniani
 
Back
Top Bottom