Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

😲😲
 
Mnanichanganya....

Kwani Fadhili Ngajilo Ndiye VUNJA BEI?!!!

Mmh mbona HAWAFANANI?!!

Kwani Fadhili ninamfahamu kipindi cha nyuma tulikuwa wote VIJANA kindakindaki wa mh.Edward Lowassa ndani ya CCM....

Binafsi ananifahamu kama kijana compatriot wa CCM hasa ule mwaka kabla mh.Lowassa "hajakatwa" na kukimbia CCM....

Binafsi nimepata hisani ndogondogo kutoka kwake hasa za harakati za kazi za mh.Lowassa kabla hajahama CCM...

Ninakumbuka alishawahi kunipa mkononi 500,000 Kama INCENTIVE yangu kwa ajili ya shughuli za CHAMA 2014-2015....


Kama ndiye YEYE basi nikiri kuwa huyo Fadhili Ngajiro ni kaka msomi,MKIMYA,SMART UPSTAIRS,MWENYE UTU MSIKIVU na mpenda KUJIFUNZA kutoka kwa wengine.

Kama ndiye YEYE ninamtakia mafanikio TELE zaidi ya aliyonayo aaamin aaamin na kwa ninavyojua CHARISMA yake,basi JAMAA ATATUSUA zaidi,zaidi na zaidi kwa kuwa ana KIPAWA CHA LEADERSHIP pia.

MAENDELEO HAYANA CHAMA

Muuza Al Kasus
Jumbe Brown.
 
Ooh well...

Mkuu wangu...

Do you mean there is a deliberate move to strangulate him economically?!!!

Does it mean the Perpetrators are those in power?!!!

Lastly are these your mere thoughts or the established facts?!!!
 
Labda Vijana wao , hawa watabadilisha kitu....
Ila wakinga wanafurahisha sana.

Mfano duka la mkinga la mtaani
Kwa ajili ya mahitaji ya Nyumbani....
Ila utakuta lina nguo, viatu, dagaa, spare za baiskeli,....
Kiufupi ni vurugu tupu.
Wakinga wameshawapindua wachagga.

Wachagga wamebaki kuwa Mamarioo, Pombe na Bange 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakinga wameshawapindua wachagga.

Wachagga wamebaki kuwa Mamarioo, Pombe na Bange 🤣🤣🤣🤣🤣
Ubaya babu zao hawakusoma, ko walikosa exposure....
Ila saiv wakinga wanapeleka watoto shule, wanafanya biashara kisasa( japo sio wote) na ile nidhamu yao ya fedha basi wanatusua....
Sidhani kama kuna wa kuwafikia, kwa sisi wabantu.
 
Mkuu mimi unayeongea nae ni mkinga kwa hiyo network yangu asilimia kubwa ni hao. Unapoongea vitu kama hivi sikuelewi wala
Alaah...lazima utajifanya hunielewi.
Usiku mwema....Mapembelooo
 
uyo biashara ipo kwenye damu dingi yake yupo iringa huko doni wa kikinga hotel guest kama zote halafu watu mnapenda kuwaonea wakinga eti wana utajiri wa majoka hao watu vijijini wanakotoka wengi wao wana miliki hekari za misitu kibao sasa akichana mbao hata ekari hamsini tu huyo mwenzio? akija mjini kununu gorofa za kkoo wanasema hela za mazingaombwe dogo aliajiliwa serikalini uyo akaachaga job kaingia biasharani afu wakinga wapambanaji acha apige pesa.
 
We nae acha ukabila haukusaidii...Sasa ukiwa mkurya unamtisha Nani?
 
Afungue duka mwanza..mwanza kuna makanjanja kibao tunauziwa nguo na mavazi mengine kwa bei ya kijinga kinyama. Utazan kama vile hakuna duka la jumla mwanza. Jamaa aje apige maepo mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…