Mr Manguruwe yuko wapi? ndiyo type hii hii😄 ila huyu jamaa nguo zake midosho sana
Ova
Acha kukwamisha jitihada za tajiri Fred😊😊
MUNGU MWENYEZI awabariki sanaAcha kukwamisha jitihada za tajiri Fred😊😊
Kaka ake Fred aitwae fadhili AMEWAI kua lecturer hapo UDSM.. AMEWAI kua Personal secretary wa The late EDWARD LOWASSA.
Amesha gombea Mara KADHAA ubunge wa Iringa mjini ndani ya CCM lakini kura hazikutosha .
Ni mtu peace Sana brother Fadhili so sishangai Kama wata mpigia chapuo mdogo wao FRED VUNJA BEI
Hata ivyo Fred ndie amezaa na KIDOTI na pia kwa Sasa kaingia kwa nguvu kwenye industry ya PHARMACEUTICAL INDUSTRY.
In short wanautaka ubunge wa Iringa mjini familia ya NGAJILO.
Zinapauka mapema sana zile kadeti na jinsi zake. Unaweza nunua kadeti OG 1, mwenzako aliyenunua kwa vunja bei akanunua hadi 4 au 5 na yako haijapaukaNawashaaga sana watu wanaonunua nguo na viatu hapo
Najiulizaga wanazivaaje
Ova
Midosho ileZinapauka mapema sana zile kadeti na jinsi zake. Unaweza nunua kadeti OG 1, mwenzako aliyenunua kwa vunja bei akanunua hadi 4 au 5 na yako haijapauka
Mtumish Mimi siyo mshamba wewe ni kutupia mwanzo mwishoWewe mlokole na masuruali yako kama ngoswe unasema nini?