Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Nishawahi kuingia kwenye maduka yake mawili la pale sinza na la iringa mjini. Sikuona cha maana, mara zote mbili nilitoka dukani bila kununua chochote😄 ila huyu jamaa nguo zake midosho sana
Ova