MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei.
Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original.
Anasema ukikuta nguo imeandikwa Gucci lakini inauzwa elfu 15 basi fahamu hela iliyobaki Fred Vunja bei kakulipia,nguo zetu zote ni OG.
waakuu yapi maoni yenu?