MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Yaani wewe ni aina ya vimtu vinafikinafiki na vifitinishi sana.Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei.
Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original.
Anasema ukikuta nguo imeandikwa Gucci lakini inauzwa elfu 15 basi fahamu hela iliyobaki Fred Vunja bei kakulipia,nguo zetu zote ni OG.
waakuu yapi maoni yenu?
We acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambaraMaronya ronya yamejaa pale dukan ikwake sinza
Tulia FredYaani wewe ni aina ya vimtu vinafikinafiki na vifitinishi sana.
witnessj mmmh! huo mshepu ni wewe?We acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
😂 Niliendaga mwaka fulani nikatazama nguo dk10 nikasepa nikajisema hii kweli vunja beiWe acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
Kwamekia kwaa[emoji23][emoji23][emoji23]Jesus Christ..