Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

mkuu wewe ni wakuchukua nguo zako woolworths.. huko kwingine hapakufai
Ilo duka lipo wapi mzee baba? Ila kama Mlimani City utakua umenikosea sana 🤣🤣🤣

Mlimani nishawahi nunua t-shirt tu MR Price nalo ata halikua zuri, zaidi ya hapo uwa naingia kupoa na AC za bure nikitoka Ubungo natembea naenda Mwenge.
 
Nitajaribu siku. Nimevaa makadeti ya uyu MR Kadeti, na Kariakoo, dah shariti usifue, ukifua tu chalii.
Achana na kadeti za mchina hizo mzee .

Mimi napiga kadeti ya mtumba zile Safi kabisa nenda ilala pale asubuhi Sana huwa wanafungua balo za mtumba pia kuna mafundi wanazipungua hapo hapo

Wale madogo na washkaji wa kariakoo wanaouza njiani barabara ya karume wanazitoa kule ilala

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
It's true..niliwahi nunua jeans pale .nilivaa mara mbili nikaligawa..mara 100 niende kkoo ninajichagulie cha bei ila ubora kidogo afadhali
 
Anauza fake tupu, kwanza hata hizo original hakuna kabisa dukani
 
Anajikosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…