Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA
Pia wamesisitiza sehemu ambazo wagombea wao wameenguliwa, wapige kura nyingi za hapana ili uchaguzi urudiwe.