Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Lakini si anafunga? Ninyi mnachotaka afunge au awe kama fulani?Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba.
Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae Rupia.Rupia ni kipande cha baba lakn ana uwezo mkubwa sana ingawa naye sio type ya Simba.
Jobe na Freddy wanapatikana hata ndondo kule Mwakidila.
Mkuu umeua bonge la ushauri ....Kama kuna siku nimeshangaa ni leo. Katika pita pita zangu youtube kuna mchambuzi wa soka nilikuwa namheshimu sana anajiita Dr. Mo nikamsikia akimsifia huyo Freddy kisa jana katupia dhidi ya KVZ eti apewe muda ni mfungaji mzuri. Freddy huyu huyu mwenye umbo la mpira na kimo kirefu lakini hawezi kulitumia umbo lake na hata urefu wake hauna faida krosi zinapita pale kati kama maji ya mafuriko mtoni na mabeki wa kati wafupi wamemgeuza kichekesho leo hii eti Dr. Mo anamsifia kwa mechi dhidi ya timu ndogo KVZ. Aisee nimechoka kabisa. Yaani leo ndio nimeamini pesa + uchawa ni kitu kibaya sana. Na kwa hali hii Simba haitakaa itoke hapo ilipo kama viongozi wataendelea kuwalipa hao machawa ili wasifie ujinga. Mshambuliaji wa kimataifas kama Freddy au Jobe unampima kwenye mechi dhidi ya timu kama Al Ahly, Wydad, Mamelod n.k. na sio KVZ fullstop.
Kwa hadhi iliyofika Simba Freddy, Jobe, Willy Onana na mmojawapo kati ya Kanoute/ Babcar Sarr lazima waondoke mwishoni mwa msimu. Na sio kuondoka tu kwa hao wachezaji bali viongozi lazima wajikite walete wachezaji wenye uwezo wa hali ya juu na muhimu sana wenye " work rate" kubwa uwanjani. Na wasirudie ujinga waliofanya wa kuondoa Baleke + Phiri halafu unaleta Freddy + Jobe.
Nilikuwa najiuliza vipi hawa machawa wa Simba wanafanya kazi saa ngapi mbona wanasafiri sana na timu kila inapoenda na ni nani anawagharamia na kwanini kila siku kusifia viongozi na wachezaji hata wanapofanya vibaya? Nadhani sasa jibu nimelipata baada ya timu kwenda Zanzibar. Kwa maana nyingine timu imeenda Zanzibar ili viongozi wapate sehemu ya kupumulia na machawa wapate sehemu ya kuwasafisha viongozi maana machawa wengine wameanza kumuanguashia jumba bovu Benchika kuwa yeye ndio sababu ya timu kufanya vibaya. Unawezaje kumlaumu Benchika wakati umemletea washambuliaji Freddy na Jobe na huku umempa Mzee Saidoo mkataba wa kimangungu kuwa anatakiwa aanze mechi zote isipokuwa akiwa na pancha au kadi. Anyway hao viongozi wajue kamari waliyocheza inaweza kubadilika iwapo timu itafanya vibaya huko Zanzibar kwani watakuwa na wakati mgumu zaidi ya walio nao sasa.
Kwa kifupi sana japo mambo ni mengi sana Simba ina machaguo mawili tu kuamua kuendelea kuwepo shimoni na kuzidi kuzama au iamue kujikwamua itoke huko shimoni kufanya yafuatayo:-
1. Usajili wa kwanza wa Simba iwe ni kusajili viongozi wapya hao Mangungu na Try Again waondolewe au wajiuzulu haraka sana tena sasa hivi. Muda ndio huu wao kuondoka/kujiuzulu ili viongozi wapya waanze usajili mapema na wapate muda wa kutosha kuindaa timu. Na viongozi wapya watakaopewa nafasi kwenye kipindi cha mpito wapige marufuku kabisa hao machawa. Kama viongozi wanapesa za kuwasafirisha watu mikoani kuisapoti timu basi wasafirishwe wachezaji wa zamani wa Simba, viongozi wa zamani, makocha wa zamani wa Simba au wachezaji wa timu "B" hawa ili wajenge "bond" na timu na vile vile wajifunze kwa wakubwa zao. Machawa wakitaka kusafiri wao wajisafirishe wenyewe kwa pesa zao.
2. Timu ianze usajili sasa hivi. Muda kama huu mwaka jana Simba na TP Mazembe zilikuwa na matokeo mabaya kwenye mashindano ya Afrika. Katumbi akatangaza muda kama huu kuwa anaiunda TP Mazambe upya na viongozi wa Simba nao wakasema hivyo hivyo. Jambo la ajabu wakati Katumbi alianza kuita wachezaji (kumbuka sio wachezaji wa hovyo hovyo) kwa majaribio na kuwachuja muda mfupi tu baada tu ya tamko lake wao viongozi kupitia msemaji wao na waandishi wao waliowanunua wakaanza tu mbwembwe redioni, kwenye tv na kwenye magazeti kuwa wanaleta mashine huku wameficha majina ya wachezaji waliowasajili mpaka dakika za mwisho matokeo yake kati yao wakawepo magarasa ya kutosha. Mwaka wa kwanza tu Mazembe kuunda upya timu wapo nusu fainali na msimu mpya ukianza wakirekebisha kidogo tu timu yao wanaweza inua ndoo ya Afrika tena wakati Simba wao wanateseka tu na robo fainali pamoja mashindano yote wanayoshiriki msimu huu.
3. Viongozi wapya wasiige ushamba wa kuipeleka timu pre season nje ya nchi. Kwani kwa miaka hii miwili timu imepoteaza muda na pesa bure kwa kwenda kwa mafungu na kupoteza muda mwingi wakati wa kwenda na kurudi nje ya nchi. Badala yake pesa ya pre season iongezewe kwenye usajili.
4. Viongozi wapya wajikite kwenye kusajili wachezaji wachache sana wenye " impact" hata kama ni kwa gharama kubwa kuliko kusajili wachezaji wengi wa kawaida ambao hawana msaada kwenye timu, Kwa lugha rahisi badala ya kusajili Freddy na Jobe pesa yao ya usajili na mishahara ikusanywe pamoja asajiliwe mshambuliaji mmoja tu mwenye uwezo na chenji kidogo itakayobaki asajiliwe mshambuliaji wa ndani kwani wapo wenye uwezo.
5. Wachezaji waliosajiliwa watangazwe mapema waripoti kambini mapema ili waanze mazoezi mapema kama walivyofanya TP Mazembe. Hii inasaidia timu kutengeneza " chemistry" ya timu mapema. Huo ushamba wa kuficha majina ya wachezaji wapya mpaka dakika za mwisho wakati mwingine mpaka timu ipo " pre season" au usiku wa kuamkia kufungwa kwa dirisha la usajili matokeo yake ni timu kushindwa kufanya mazoezi ya pamoja na kuzoeana.
6. Viongozi wapya waache kusajili wachezaji kwa kuwaona kwenye "youtube" kwani huko hakuna mchezaji mbovu hata siku moja. Simba ina hazina kubwa sana ya watu wengi wenye mapenzi mema na Simba wanoweza kupewa kazi ya kuwafuatilia wachezaji kwenye ligi zao Afrika nzima hata Amerika ya kusini wakitumwa na wakatumika vizuri tu. Kuna makocha wengi wa zamani sana wakina Kibadeni, Julio, Kaduguda, Amri Said, Musa Mgosi, Mgunda na wengineo wengi. Licha ya hao makocha pia wapo wachezaji kibao wa zamani kama wakina Pawasa, Emmanuel Gabriel, Malota, Mwameja, Masatu, Mogela na wengineo wengi wangeweza kutumika kusaidia kufuatilia wachezaji. Na zaidi wapo viongozi wenye uwezo na umafia kwenye usajili kama Kaburu, Aveva, Patrick Rweyemamu, Magori, Rage nao wangetumika vizuri kwenye usajili Simba ingefaidika na uwezo wao kuliko hivi sasa akitoka Sawadogo analetwa Freddy.
7. Viongozi wapya kwenye usajili ujao wahakikishe wanasajili wachezaji kwa kutumia vigezo vikubwa vitatu kwa pamoja kwa maana umbo la mchezaji + uwezo/akili ya mpira ya mchezaji + kasi ya mchezaji uwanjani. Ukiangalia sasa hivi Simba hasa eneo la kati kati ya uwanja halina wachezaji wenye kasi. Ukiangalia viungo Ngoma, Kanoute, Babcar, Chama na Muzamiru wapo "slow" sana kiasi inaiathiri Simba na mfumo wao wa kuanzia kupanga mashambulizi nyuma. Simba wanahitaji sana wachezaji wenye kasi pale katikati.
8. Kwenye suala la kuinua morali kwenye "dressing room" kwanini viongozi wa Simba wasimuajiri Julio. Tunajua kuwa viongozi wa sasa wanatofauti zao na Julio lakini inapofika kwenye suala la kazi na kutafuta mafanikio ya Simba inatakiwa tofauti zao waweke pembeni. Julio kwanza ni kocha kitaaluma lakini pamoja na hilo bado anauwezo mkubwa wa uhamasishaji na kuinua morali ya wachezaji japo sio mwanasaikolojia kitaaluma. Kwa kifupi tangu nimeanza kufuatilia mpira miaka zaidi ya 40 iliyopita sijaona mtu wa kumzidi Julio katika nchii kwenye kuinua morali ya wachezaji kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Huyo Julio aliwahi kuzifunga timu kibao kwa maneno tu huku akiwa na Simba mbovu.
Natunguliza kuomba samahani kwa kuwaandikia gazeti kubwa lote na nawashukuru wote walioweza kusoma bandiko lote Yote kwa yote ni katika kuwasaidia Simba na sina sehemu ya kuwakilisha hili bandiko langu maana naogopa nikifika na bandiko langu pale Msimbazi yanaweza kunikuta ya GB64.
Ni mtizamo tu
Hahaaaa, mwakidila ilikuwa mitaa yangu. Huko hakuna kupigana kwenye ndondo kwani wanaogapana kwa sababu ya "MUKU"Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba.
Freddy hamfikii hata robo yule striker mkenya wa Ihefu aitwae Rupia.Rupia ni kipande cha baba lakn ana uwezo mkubwa sana ingawa naye sio type ya Simba.
Jobe na Freddy wanapatikana hata ndondo kule Mwakidila.
Kama kuna siku nimeshangaa ni leo. Katika pita pita zangu youtube kuna mchambuzi wa soka nilikuwa namheshimu sana anajiita Dr. Mo nikamsikia akimsifia huyo Freddy kisa jana katupia dhidi ya KVZ eti apewe muda ni mfungaji mzuri. Freddy huyu huyu mwenye umbo la mpira na kimo kirefu lakini hawezi kulitumia umbo lake na hata urefu wake hauna faida krosi zinapita pale kati kama maji ya mafuriko mtoni na mabeki wa kati wafupi wamemgeuza kichekesho leo hii eti Dr. Mo anamsifia kwa mechi dhidi ya timu ndogo KVZ. Aisee nimechoka kabisa. Yaani leo ndio nimeamini pesa + uchawa ni kitu kibaya sana. Na kwa hali hii Simba haitakaa itoke hapo ilipo kama viongozi wataendelea kuwalipa hao machawa ili wasifie ujinga. Mshambuliaji wa kimataifas kama Freddy au Jobe unampima kwenye mechi dhidi ya timu kama Al Ahly, Wydad, Mamelod n.k. na sio KVZ fullstop.
Kwa hadhi iliyofika Simba Freddy, Jobe, Willy Onana na mmojawapo kati ya Kanoute/ Babcar Sarr lazima waondoke mwishoni mwa msimu. Na sio kuondoka tu kwa hao wachezaji bali viongozi lazima wajikite walete wachezaji wenye uwezo wa hali ya juu na muhimu sana wenye " work rate" kubwa uwanjani. Na wasirudie ujinga waliofanya wa kuondoa Baleke + Phiri halafu unaleta Freddy + Jobe.
Nilikuwa najiuliza vipi hawa machawa wa Simba wanafanya kazi saa ngapi mbona wanasafiri sana na timu kila inapoenda na ni nani anawagharamia na kwanini kila siku kusifia viongozi na wachezaji hata wanapofanya vibaya? Nadhani sasa jibu nimelipata baada ya timu kwenda Zanzibar. Kwa maana nyingine timu imeenda Zanzibar ili viongozi wapate sehemu ya kupumulia na machawa wapate sehemu ya kuwasafisha viongozi maana machawa wengine wameanza kumuanguashia jumba bovu Benchika kuwa yeye ndio sababu ya timu kufanya vibaya. Unawezaje kumlaumu Benchika wakati umemletea washambuliaji Freddy na Jobe na huku umempa Mzee Saidoo mkataba wa kimangungu kuwa anatakiwa aanze mechi zote isipokuwa akiwa na pancha au kadi. Anyway hao viongozi wajue kamari waliyocheza inaweza kubadilika iwapo timu itafanya vibaya huko Zanzibar kwani watakuwa na wakati mgumu zaidi ya walio nao sasa.
Kwa kifupi sana japo mambo ni mengi sana Simba ina machaguo mawili tu kuamua kuendelea kuwepo shimoni na kuzidi kuzama au iamue kujikwamua itoke huko shimoni kufanya yafuatayo:-
1. Usajili wa kwanza wa Simba iwe ni kusajili viongozi wapya hao Mangungu na Try Again waondolewe au wajiuzulu haraka sana tena sasa hivi. Muda ndio huu wao kuondoka/kujiuzulu ili viongozi wapya waanze usajili mapema na wapate muda wa kutosha kuindaa timu. Na viongozi wapya watakaopewa nafasi kwenye kipindi cha mpito wapige marufuku kabisa hao machawa. Kama viongozi wanapesa za kuwasafirisha watu mikoani kuisapoti timu basi wasafirishwe wachezaji wa zamani wa Simba, viongozi wa zamani, makocha wa zamani wa Simba au wachezaji wa timu "B" hawa ili wajenge "bond" na timu na vile vile wajifunze kwa wakubwa zao. Machawa wakitaka kusafiri wao wajisafirishe wenyewe kwa pesa zao.
2. Timu ianze usajili sasa hivi. Muda kama huu mwaka jana Simba na TP Mazembe zilikuwa na matokeo mabaya kwenye mashindano ya Afrika. Katumbi akatangaza muda kama huu kuwa anaiunda TP Mazambe upya na viongozi wa Simba nao wakasema hivyo hivyo. Jambo la ajabu wakati Katumbi alianza kuita wachezaji (kumbuka sio wachezaji wa hovyo hovyo) kwa majaribio na kuwachuja muda mfupi tu baada tu ya tamko lake wao viongozi kupitia msemaji wao na waandishi wao waliowanunua wakaanza tu mbwembwe redioni, kwenye tv na kwenye magazeti kuwa wanaleta mashine huku wameficha majina ya wachezaji waliowasajili mpaka dakika za mwisho matokeo yake kati yao wakawepo magarasa ya kutosha. Mwaka wa kwanza tu Mazembe kuunda upya timu wapo nusu fainali na msimu mpya ukianza wakirekebisha kidogo tu timu yao wanaweza inua ndoo ya Afrika tena wakati Simba wao wanateseka tu na robo fainali pamoja mashindano yote wanayoshiriki msimu huu.
3. Viongozi wapya wasiige ushamba wa kuipeleka timu pre season nje ya nchi. Kwani kwa miaka hii miwili timu imepoteaza muda na pesa bure kwa kwenda kwa mafungu na kupoteza muda mwingi wakati wa kwenda na kurudi nje ya nchi. Badala yake pesa ya pre season iongezewe kwenye usajili.
4. Viongozi wapya wajikite kwenye kusajili wachezaji wachache sana wenye " impact" hata kama ni kwa gharama kubwa kuliko kusajili wachezaji wengi wa kawaida ambao hawana msaada kwenye timu, Kwa lugha rahisi badala ya kusajili Freddy na Jobe pesa yao ya usajili na mishahara ikusanywe pamoja asajiliwe mshambuliaji mmoja tu mwenye uwezo na chenji kidogo itakayobaki asajiliwe mshambuliaji wa ndani kwani wapo wenye uwezo.
5. Wachezaji waliosajiliwa watangazwe mapema waripoti kambini mapema ili waanze mazoezi mapema kama walivyofanya TP Mazembe. Hii inasaidia timu kutengeneza " chemistry" ya timu mapema. Huo ushamba wa kuficha majina ya wachezaji wapya mpaka dakika za mwisho wakati mwingine mpaka timu ipo " pre season" au usiku wa kuamkia kufungwa kwa dirisha la usajili matokeo yake ni timu kushindwa kufanya mazoezi ya pamoja na kuzoeana.
6. Viongozi wapya waache kusajili wachezaji kwa kuwaona kwenye "youtube" kwani huko hakuna mchezaji mbovu hata siku moja. Simba ina hazina kubwa sana ya watu wengi wenye mapenzi mema na Simba wanoweza kupewa kazi ya kuwafuatilia wachezaji kwenye ligi zao Afrika nzima hata Amerika ya kusini wakitumwa na wakatumika vizuri tu. Kuna makocha wengi wa zamani sana wakina Kibadeni, Julio, Kaduguda, Amri Said, Musa Mgosi, Mgunda na wengineo wengi. Licha ya hao makocha pia wapo wachezaji kibao wa zamani kama wakina Pawasa, Emmanuel Gabriel, Malota, Mwameja, Masatu, Mogela na wengineo wengi wangeweza kutumika kusaidia kufuatilia wachezaji. Na zaidi wapo viongozi wenye uwezo na umafia kwenye usajili kama Kaburu, Aveva, Patrick Rweyemamu, Magori, Rage nao wangetumika vizuri kwenye usajili Simba ingefaidika na uwezo wao kuliko hivi sasa akitoka Sawadogo analetwa Freddy.
7. Viongozi wapya kwenye usajili ujao wahakikishe wanasajili wachezaji kwa kutumia vigezo vikubwa vitatu kwa pamoja kwa maana umbo la mchezaji + uwezo/akili ya mpira ya mchezaji + kasi ya mchezaji uwanjani. Ukiangalia sasa hivi Simba hasa eneo la kati kati ya uwanja halina wachezaji wenye kasi. Ukiangalia viungo Ngoma, Kanoute, Babcar, Chama na Muzamiru wapo "slow" sana kiasi inaiathiri Simba na mfumo wao wa kuanzia kupanga mashambulizi nyuma. Simba wanahitaji sana wachezaji wenye kasi pale katikati.
8. Kwenye suala la kuinua morali kwenye "dressing room" kwanini viongozi wa Simba wasimuajiri Julio. Tunajua kuwa viongozi wa sasa wanatofauti zao na Julio lakini inapofika kwenye suala la kazi na kutafuta mafanikio ya Simba inatakiwa tofauti zao waweke pembeni. Julio kwanza ni kocha kitaaluma lakini pamoja na hilo bado anauwezo mkubwa wa uhamasishaji na kuinua morali ya wachezaji japo sio mwanasaikolojia kitaaluma. Kwa kifupi tangu nimeanza kufuatilia mpira miaka zaidi ya 40 iliyopita sijaona mtu wa kumzidi Julio katika nchii kwenye kuinua morali ya wachezaji kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Huyo Julio aliwahi kuzifunga timu kibao kwa maneno tu huku akiwa na Simba mbovu.
Natunguliza kuomba samahani kwa kuwaandikia gazeti kubwa lote na nawashukuru wote walioweza kusoma bandiko lote Yote kwa yote ni katika kuwasaidia Simba na sina sehemu ya kuwakilisha hili bandiko langu maana naogopa nikifika na bandiko langu pale Msimbazi yanaweza kunikuta ya GB64.
Ni mtizamo tu
Mawazo mazuri haya ila Viongozi waliopo Simba hawataki mambo kama haya ndiyo maana hadi Leo wanangangania nafasi zao japo Simba imefeli chini ya uwongozi wao.Kama kuna siku nimeshangaa ni leo. Katika pita pita zangu youtube kuna mchambuzi wa soka nilikuwa namheshimu sana anajiita Dr. Mo nikamsikia akimsifia huyo Freddy kisa jana katupia dhidi ya KVZ eti apewe muda ni mfungaji mzuri. Freddy huyu huyu mwenye umbo la mpira na kimo kirefu lakini hawezi kulitumia umbo lake na hata urefu wake hauna faida krosi zinapita pale kati kama maji ya mafuriko mtoni na mabeki wa kati wafupi wamemgeuza kichekesho leo hii eti Dr. Mo anamsifia kwa mechi dhidi ya timu ndogo KVZ. Aisee nimechoka kabisa. Yaani leo ndio nimeamini pesa + uchawa ni kitu kibaya sana. Na kwa hali hii Simba haitakaa itoke hapo ilipo kama viongozi wataendelea kuwalipa hao machawa ili wasifie ujinga. Mshambuliaji wa kimataifas kama Freddy au Jobe unampima kwenye mechi dhidi ya timu kama Al Ahly, Wydad, Mamelod n.k. na sio KVZ fullstop.
Kwa hadhi iliyofika Simba Freddy, Jobe, Willy Onana na mmojawapo kati ya Kanoute/ Babcar Sarr lazima waondoke mwishoni mwa msimu. Na sio kuondoka tu kwa hao wachezaji bali viongozi lazima wajikite walete wachezaji wenye uwezo wa hali ya juu na muhimu sana wenye " work rate" kubwa uwanjani. Na wasirudie ujinga waliofanya wa kuondoa Baleke + Phiri halafu unaleta Freddy + Jobe.
Nilikuwa najiuliza vipi hawa machawa wa Simba wanafanya kazi saa ngapi mbona wanasafiri sana na timu kila inapoenda na ni nani anawagharamia na kwanini kila siku kusifia viongozi na wachezaji hata wanapofanya vibaya? Nadhani sasa jibu nimelipata baada ya timu kwenda Zanzibar. Kwa maana nyingine timu imeenda Zanzibar ili viongozi wapate sehemu ya kupumulia na machawa wapate sehemu ya kuwasafisha viongozi maana machawa wengine wameanza kumuanguashia jumba bovu Benchika kuwa yeye ndio sababu ya timu kufanya vibaya. Unawezaje kumlaumu Benchika wakati umemletea washambuliaji Freddy na Jobe na huku umempa Mzee Saidoo mkataba wa kimangungu kuwa anatakiwa aanze mechi zote isipokuwa akiwa na pancha au kadi. Anyway hao viongozi wajue kamari waliyocheza inaweza kubadilika iwapo timu itafanya vibaya huko Zanzibar kwani watakuwa na wakati mgumu zaidi ya walio nao sasa.
Kwa kifupi sana japo mambo ni mengi sana Simba ina machaguo mawili tu kuamua kuendelea kuwepo shimoni na kuzidi kuzama au iamue kujikwamua itoke huko shimoni kufanya yafuatayo:-
1. Usajili wa kwanza wa Simba iwe ni kusajili viongozi wapya hao Mangungu na Try Again waondolewe au wajiuzulu haraka sana tena sasa hivi. Muda ndio huu wao kuondoka/kujiuzulu ili viongozi wapya waanze usajili mapema na wapate muda wa kutosha kuindaa timu. Na viongozi wapya watakaopewa nafasi kwenye kipindi cha mpito wapige marufuku kabisa hao machawa. Kama viongozi wanapesa za kuwasafirisha watu mikoani kuisapoti timu basi wasafirishwe wachezaji wa zamani wa Simba, viongozi wa zamani, makocha wa zamani wa Simba au wachezaji wa timu "B" hawa ili wajenge "bond" na timu na vile vile wajifunze kwa wakubwa zao. Machawa wakitaka kusafiri wao wajisafirishe wenyewe kwa pesa zao.
2. Timu ianze usajili sasa hivi. Muda kama huu mwaka jana Simba na TP Mazembe zilikuwa na matokeo mabaya kwenye mashindano ya Afrika. Katumbi akatangaza muda kama huu kuwa anaiunda TP Mazambe upya na viongozi wa Simba nao wakasema hivyo hivyo. Jambo la ajabu wakati Katumbi alianza kuita wachezaji (kumbuka sio wachezaji wa hovyo hovyo) kwa majaribio na kuwachuja muda mfupi tu baada tu ya tamko lake wao viongozi kupitia msemaji wao na waandishi wao waliowanunua wakaanza tu mbwembwe redioni, kwenye tv na kwenye magazeti kuwa wanaleta mashine huku wameficha majina ya wachezaji waliowasajili mpaka dakika za mwisho matokeo yake kati yao wakawepo magarasa ya kutosha. Mwaka wa kwanza tu Mazembe kuunda upya timu wapo nusu fainali na msimu mpya ukianza wakirekebisha kidogo tu timu yao wanaweza inua ndoo ya Afrika tena wakati Simba wao wanateseka tu na robo fainali pamoja mashindano yote wanayoshiriki msimu huu.
3. Viongozi wapya wasiige ushamba wa kuipeleka timu pre season nje ya nchi. Kwani kwa miaka hii miwili timu imepoteaza muda na pesa bure kwa kwenda kwa mafungu na kupoteza muda mwingi wakati wa kwenda na kurudi nje ya nchi. Badala yake pesa ya pre season iongezewe kwenye usajili.
4. Viongozi wapya wajikite kwenye kusajili wachezaji wachache sana wenye " impact" hata kama ni kwa gharama kubwa kuliko kusajili wachezaji wengi wa kawaida ambao hawana msaada kwenye timu, Kwa lugha rahisi badala ya kusajili Freddy na Jobe pesa yao ya usajili na mishahara ikusanywe pamoja asajiliwe mshambuliaji mmoja tu mwenye uwezo na chenji kidogo itakayobaki asajiliwe mshambuliaji wa ndani kwani wapo wenye uwezo.
5. Wachezaji waliosajiliwa watangazwe mapema waripoti kambini mapema ili waanze mazoezi mapema kama walivyofanya TP Mazembe. Hii inasaidia timu kutengeneza " chemistry" ya timu mapema. Huo ushamba wa kuficha majina ya wachezaji wapya mpaka dakika za mwisho wakati mwingine mpaka timu ipo " pre season" au usiku wa kuamkia kufungwa kwa dirisha la usajili matokeo yake ni timu kushindwa kufanya mazoezi ya pamoja na kuzoeana.
6. Viongozi wapya waache kusajili wachezaji kwa kuwaona kwenye "youtube" kwani huko hakuna mchezaji mbovu hata siku moja. Simba ina hazina kubwa sana ya watu wengi wenye mapenzi mema na Simba wanoweza kupewa kazi ya kuwafuatilia wachezaji kwenye ligi zao Afrika nzima hata Amerika ya kusini wakitumwa na wakatumika vizuri tu. Kuna makocha wengi wa zamani sana wakina Kibadeni, Julio, Kaduguda, Amri Said, Musa Mgosi, Mgunda na wengineo wengi. Licha ya hao makocha pia wapo wachezaji kibao wa zamani kama wakina Pawasa, Emmanuel Gabriel, Malota, Mwameja, Masatu, Mogela na wengineo wengi wangeweza kutumika kusaidia kufuatilia wachezaji. Na zaidi wapo viongozi wenye uwezo na umafia kwenye usajili kama Kaburu, Aveva, Patrick Rweyemamu, Magori, Rage nao wangetumika vizuri kwenye usajili Simba ingefaidika na uwezo wao kuliko hivi sasa akitoka Sawadogo analetwa Freddy.
7. Viongozi wapya kwenye usajili ujao wahakikishe wanasajili wachezaji kwa kutumia vigezo vikubwa vitatu kwa pamoja kwa maana umbo la mchezaji + uwezo/akili ya mpira ya mchezaji + kasi ya mchezaji uwanjani. Ukiangalia sasa hivi Simba hasa eneo la kati kati ya uwanja halina wachezaji wenye kasi. Ukiangalia viungo Ngoma, Kanoute, Babcar, Chama na Muzamiru wapo "slow" sana kiasi inaiathiri Simba na mfumo wao wa kuanzia kupanga mashambulizi nyuma. Simba wanahitaji sana wachezaji wenye kasi pale katikati.
8. Kwenye suala la kuinua morali kwenye "dressing room" kwanini viongozi wa Simba wasimuajiri Julio. Tunajua kuwa viongozi wa sasa wanatofauti zao na Julio lakini inapofika kwenye suala la kazi na kutafuta mafanikio ya Simba inatakiwa tofauti zao waweke pembeni. Julio kwanza ni kocha kitaaluma lakini pamoja na hilo bado anauwezo mkubwa wa uhamasishaji na kuinua morali ya wachezaji japo sio mwanasaikolojia kitaaluma. Kwa kifupi tangu nimeanza kufuatilia mpira miaka zaidi ya 40 iliyopita sijaona mtu wa kumzidi Julio katika nchii kwenye kuinua morali ya wachezaji kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Huyo Julio aliwahi kuzifunga timu kibao kwa maneno tu huku akiwa na Simba mbovu.
Natunguliza kuomba samahani kwa kuwaandikia gazeti kubwa lote na nawashukuru wote walioweza kusoma bandiko lote Yote kwa yote ni katika kuwasaidia Simba na sina sehemu ya kuwakilisha hili bandiko langu maana naogopa nikifika na bandiko langu pale Msimbazi yanaweza kunikuta ya GB64.
Ni mtizamo tu
Simba wamefeli wapi?......M
Mawazo mazuri haya ila Viongozi waliopo Simba hawataki mambo kama haya ndiyo maana hadi Leo wanangangania nafasi zao japo Simba imefeli chini ya uwongozi wao.
Hilo nalo ni la kuonyeshwa?Simba wamefeli wapi?......
Tatizo lako ......unaishi kwa hisia tu.....hakuna timu duniani itakuwa juu kwa ubora kwa muda wote. Simba walikuwa mabingwa mara nne mfululizo, watu hawalioni hilo. Timu zote kubwa duniani kuna kipindi zinashuka kiwango, sio ajabu kwa Simba pia.Hilo nalo ni la kuonyeshwa?
Fred yeye Hana maneno mengi ana wajibu kwa kufunga magoli Tu!Andikeni maandiko yote lakn huyu striker anayefanana na striker wa zamani wa Tottenham Freddy Kanoute hana uwezo wa kuchezea Simba.