Freddy Michael vs Guedde

Freddy Michael vs Guedde

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Usajili wa clabu mbili kongwe Simba na Yanga ikiwa simba imemsajili Freddy na yanga imemsajili guedde

Ila ukweli mchungu kuna usajili wa upande moja ni hasara tu so tuta judge kwa kuangalia mechi zinazondelea
 
Tatizo watu wanataka Guede acheze kama Mayele.
Kitu ambacho hakiwezekani.

Bila kukifikia kiwango cha Mayele au kumzidi, Wanayanga hawata ridhika naye.

Nipo hapa napata Kahawa.
 
Back
Top Bottom