Patrick Nyemela
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 332
- 28
sasa kwenye harakati za kisiasa wewe ulitaka afanye nini ? vi roho vya wauma, kwa taarifa yako wabunge zaidi ya 50, wanajiandaa kujiunga na chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu. no matter what, iwe njaa ama nini , kilichodhahiri ni kuwa wameongeza nguvu ya wapinga ufisadi.Njaa itawahamisha chama kimoja kwenda kingine. Ameona future yake ipo matatani CCM hivyo bora akagange njaa CCJ. Mpendazoe amekuwa mpendazote
Njaa itawahamisha chama kimoja kwenda kingine. Ameona future yake ipo matatani CCM hivyo bora akagange njaa CCJ. Mpendazoe amekuwa mpendazote
Kama amehama toka CCM kwenda CCJ kwa nia nzuri ya kuwakomboa watanzania walio wengi basi na abarikiwe sana.!
Sio kweli mkuu, hajaanza jana kukosoa uendeshaji wa CCM uozo. Soma post # 176 hapo juu uone Bantalanda alivyo kukusanyia misimamo ya Mpendazoe tokea siku nyingi.Njaa itawahamisha chama kimoja kwenda kingine. Ameona future yake ipo matatani CCM hivyo bora akagange njaa CCJ. Mpendazoe amekuwa mpendazote
Another one in the group of SIZITAKI MBICHI HIZINani? Mpendazoe? Hakuna kitu huyo. ALikuwa afukuzwe na NEC next week kawashtukia. Hata CCJ watamwona he is a problem. Mtu alimtesa mkewe mapaka akawa mlokole yule mama. Masikini she died about three months ago. Mtaona tu tunayoyasema. Atawasumbua sana. The good news he is a political lightweight wala siyo Kigogo. Halafu CCJ kuja kupata usajili wa kudumu next yeaaar!! Hapo sasa. Mimi naona mahesabu kachemsha. Yaliyomfika Njelu Kasaka na yeye pia atajikuta peke yake.
George Mwakalinga jitoe CCM ndugu
sasa kwenye harakati za kisiasa wewe ulitaka afanye nini ? vi roho vya wauma, kwa taarifa yako wabunge zaidi ya 50, wanajiandaa kujiunga na chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu. no matter what, iwe njaa ama nini , kilichodhahiri ni kuwa wameongeza nguvu ya wapinga ufisadi.
aKadanganyika tu uyo ila atjuta kujiunga na icho chama ambacho bdo ndo kinaanza kutambaaa;ila asije akajuta tu baadae...................
huu ni kati ya uamuzi mmbaya kabisa kuwahi kuona maishani mwangu, habari za yeye kuondoka alianza kuwaambia watu wake wa karibu mwezi fenruary siku chache tu baada ya CCM kuadhimisha miaka 33 ya kuzaliwa kwake. alishajadiliwa mara kadhaa na chama hakikuona tishio lolote la ushindi kama angeamua kutelkeleza mpango yake hiyo. kuna wakati inanfika unaona mwenyewe kuwa huwezi siasa za CCM na mh. mpendazote ndio kaona wakati huo ndio huu. tunamtakia kila la heri. lakini wapinzani wasitarajie lolote la maana kutokana na ujio wake. ccj hawatashiriki uchaguzi huu na chadema hawataweza kuongeza ushindi wao kwa kiasi kikubwa hivyo mwisho wa uamuzi kama huu ni kama ule wa augustine mrema.
kila la heri
Ngoja niache kuongea sasa kabla sijaanza kuitwa mtetezi wa mafisadi but Tanzanians beware.
Mkuu kama wangekuwa ni wapiganaji wa kweli wa ufisadi wangeondoka CCM miaka kadhaa iliyopita, imebaki miezi michache kwenda kwenye uchaguzi wanajifanya wapiganaji wa kweli. Hakuna kitu nao vile vile ni mafisadi. Wapiganaji wa kweli ni wale wanao chukua hatua mara jambo la kijinga linapofanyika.Mpendazoe alikuwa anatimuliwa soon.
Daktari embu nipe mwanga kidogo juu ya hizi taratibu za Bunge. mimi nilikuwa nadhani mfanyakzi wa umma mathalani hata mashirika binafsi akifa wakati wa utumishi wake hulipwa mafao yake yote vivyo hivyo na waheshimiwa wabunge. najua mtu akiacha kazi pia hulipwa mafao yake, Je hili limekaaje kwa wabunge, kwani mheshimiwa ametumika zaidi ya miaka 4 bungeni na ameamua kuacha kwa hiari yake kwanini asilipwe pension sawa sawa na muda aliotumikia bunge??? Tafahdari naomba mwongozo wenu???