Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Umenena HH. Ingawa karibu 97% ya wanaJF wanasupport hatua ya ujasiri wa Mpendazoe, asilimia kubwa ya Watanzania, hasa wale wa vijijini walio chini la blanketi la umasikini bado wanasapoti CCM. Uduni wa hali yao unasababishwa na utashi wa CCM ili waendelee daima dumu kukisapoti na kukiona ndiyo mkombozi, hasa wakati wa uchaguzi wanapojisikia wametajirika kwa TShirt (bila bottoms).

CCM wanajua fika kwamba hawa wakianza tu kupata maendeleo, hasa elimu, basi wamekwisha!

Wewe subiri watu walio makini wajiunge na CCJ, ndio utaona hao unaowaita masiki walioko ktk blacketi wanasapoti wapi.

Hadi jana kulikuwa hakuna option zaidi ya CCM.
 
Natamani sana sana angeenda kuungana na akina Dr. Slaa, yani we acha tu. We still have time, future will tell the truth.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Nimejaribu kupitia maoni ya baadhi ya wachangiaji kwa kweli yanasikitisha sana wengi wanajaribu kuona kitendo cha Mheshimiwa
Frederick Mpendazoe kutimkia CCJ kama ni mkakati wa CCM kudhoufisha upinzani kitu ambacho si kweli hata kidogo.

Kwangu mimi mpendazoe ni shujaa,yamkini kitendo chake kikawa mwanzo wa harakati za CCM kuangamia na kufutika katika historia ya Tanzania.Naomba tumpe moyo kwani kufanya hivyo kutawafanya wote wanaokereka na uongozi mbovu wa CCM kuchukua hatua mara moja kwa kujua umma utawapokea badala ya kuwakejeli.

Idadi ya waangaliajia wa hii thread inaonyesha kabisa bado tuna kiu ya mabadiliko,wanoleta mabadiliko ni watu kama Mpendazoe si malaika.


Currently Active Users Viewing This Thread: 248 (67 members and 181 guests) Ngongo, The Invincible, Kiroroma, TzPride, babukijana, Mfuatiliaji, Nsololi, Kimambo, Counterpunch, Who Cares?, Kabengwe, Mgoyangi, nyange, MJM, Babuyao, SMU, Luteni, Nasolwa, Ng'wanza Madaso, Maisha, MkamaP, Mbonafingi, jmushi1, Magezi, Lunyungu, 911, Jafar, Hongasuta, Saharavoice, Mkulima mimi, care4all, Mpita Njia, Chacha wa Mwita, Ngorunde, Nego, Isimilo, Pasco, S. S. Phares, ByaseL, kilewo, micklove, MWANALUGALI, Tiba, nsiande, Shalom, skasuku, Remmy, Lekanjobe Kubinika, Ochu, Wa Tsavo, Mponjoli, Boramaisha, Pilato2006, Kafiribangi, Kinyambiss, lyangalo, WildCard, Mlalahoi, bullet, Kamende, Bazobonankira, mnyakyusa, Jobjob2
 
Mwacheni aende atuachie Chama Chetu.

Kama mtu anashindwa kushawiji hoja ndani ya vikao vya chama, na agenda zinapoamuliwa akatika bila kuridhika na kuishia kunung'unika kwenye vyombo vya habari, basi huyo si mwenzetu!

He was a liability, opportunistic and actually a spent force. Kama kuna wengine wenye mtazamo kama wa mwanasiasa huyu, ni bora wamfuate mapema kwani kwenye uchaguzi mkuu watachujwa na hawatapewa nafasi ya kugombea.

Baada tu ya kutangaza kuondoka ndiyo mnasema haya yote, kama mlijua ana mapungugu kwa nini hamkumchukulia hatua za kichama mapema hata kumwondoa kabisa ili kukisafisha chama chenu? Sioni mantiki yako hapa Mkuu.

Kwa uelewa wangu, tafsiri yako ni kwamba ndani ya chama chenu kuna kina Pendazoe wengi tu sasa mnasuburi nini kuwatoa? au hadi watoke ndiyo mseme wezi, si waadirifu etc -

Je mtu akisema the opposite way ya tafsiri yako kwamba CCM ndiyo liability, opportunistic and actually a spent force na Pendazoe ni mwadilifu na amefikia hatua hii baada ya kuona hamna haja ya kufanya kazi na watu wasiotaka kujisafisha wala kusafishika nitakuwa nimekosea?

Nasuburi pia majibu ya Katibu Mkuu wako kuhusu hili naona atatuacha hatuna mbavu kabisa.
 
KUMEKUCHA .... Kumbe CCJ sio ya kubezwa jamani. Vigogo waanza kujiweka wazi na kujiunga!.... Lisemwalo lipo....!!

Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga, (CCM), Fred Mpendazoe, amekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Jamii (CCJ), ambacho ni kipya kikiwa bado katika hatua za kujipatia usajili wa kudumu.

Mbunge huyu, ambaye anatambulika kuwa ni mmoja kati ya wapambanaji dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga, (CCM), Fred Mpendazoe, amekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Jamii (CCJ), ambacho ni kipya kikiwa bado katika hatua za kujipatia usajili wa kudumu.

Mbunge huyu, ambaye anatambulika kuwa ni mmoja kati ya wapambanaji dhidi ya ufisadi ametangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
ufisadi ametangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
SOURCE: http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=18853
Umekurupuka kuandika hii habari...makosa ya lugha kibaooo...hv umepitia shule ya msingi wewe kweli...but thanks for ur useful post...
 
Kwa hiyo mpendazoea kajiunga na Hoax party kwa mujibu wa tendwa?
 
Kinachofanyika hapa jamvini sasa hivi, ndio kinaitwa kupiga siasa..........kupiga domo.

Mtu mmoja kafanya kitu ambacho tunatamani watu mia wakifanye....sisi tunajisikia kama TZ imekuwa mahali bora zaidi.
 
Kinachofanyika hapa jamvini sasa hivi, ndio kinaitwa kupiga siasa..........kupiga domo.

Mtu mmoja kafanya kitu ambacho tunatamani watu mia wakifanye....sisi tunajisikia kama TZ imekuwa mahali bora zaidi.

Mimi sijui Sita na Mwakyembe wanaogopa nini au nini cha zaidi wanachotegemea kupata,timkeni wakati ndio huu,ni kama Kenya
 
Kinachofanyika hapa jamvini sasa hivi, ndio kinaitwa kupiga siasa..........kupiga domo.

Mtu mmoja kafanya kitu ambacho tunatamani watu mia wakifanye....sisi tunajisikia kama TZ imekuwa mahali bora zaidi.

Lazima kutumia kila mbinu kuwaondoa wadhalimu hawa. Wenyewe wana kila zana za kuendeleza kutufisidi. siasa hizi na kupiga domu unaosema ni sahihi kabisa ktk hali iliopo.
 
mixer
unahitaji kutulia vinginevyo unamis the whole concept.....
 
Mimi sijui Sita na Mwakyembe wanaogopa nini au nini cha zaidi wanachotegemea kupata,timkeni wakati ndio huu,ni kama Kenya

Mkuu CCJ ina vigogo wengi sana hilo usiwe na shaka wacha tusubiri - hatua kwa hatua.

Pia CCM wanafikiria Pendazoe as Pendazoe tu, yule jamaa katimka na timu nzima jimboni kwake, hayo ndiyo maumivu makubwa - jamaa ana akili na amejipanga vilivyo kabla ya kuita press leo, kwa hiyo mnavyojadili hapa fikirieni na maumivu haya kwa chama chenu cha mafisadi kinavyoanza kupukutika.
 
hahhahaha.. miye watu humu wanaboa wakati mwingine.. tumewaandikia humu, watu wametoa na tamko lao, na wametupa hadi Aprili na yote tumewaweka humu watu wanataka watafuniwe hadi washibe ndio wajue wamekula. Ni mwanzo tu...
 
Sijasoma mahala Tendwa aliita CCJ 'hoax' party. Si alisha kuipa usajili wa muda?

Ok soma hapa sasa http://www.dailynews.co.tz/home/?n=6984&cat=home

au

CCJ is a hoax,says Tendwa


ABDULWAKIL SAIBOKO, 25th January 2010 Hits: 1247

THE much-publicized new political party, Chama Cha Jamii (CCJ), is nothing but a mere hoax, the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, said in Dar es Salaam yesterday.

"It is disgusting to see news in the media about a party which does not exist at all. Some people have gone to the extent of claiming that the party has been given temporary registration. This is not true. It is a hoax," he said.

Mr Tendwa said that the whole issue was being blown out of proportion by some politicians, for reasons better known to them.

"I am tired of talking about this ghost party. In fact, even if it existed, there is nothing special that could make it unique or different from all the other registered parties. Why should it merit such publicity? Who are the party (CCJ) members anyway?

"We are drawing too much attention for nothing. Nothing at all," he said. There has been a series of news on the local media about the party, which has been claimed to have been backed by veteran politicians from the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM).

The suspected veteran politicians, however, have distanced themselves from it.

Unconfirmed reports had it that the party was registered early last week. The reports drew mixed reactions from a cross-section of people, including politicians.

CCM leaders said the new party did not pose any threat to the ruling party's existence. One tabloid went further to claim that the party (CCJ), would parade a presidential candidate to challenge President Jakaya Kikwete in the coming October general elections.

The man who identified himself as the chairman of CCJ, Mr Richard Kiyabo, was quoted as saying that the major target was to have a presidential candidate in this year's general elections and that the party had 2,000 members in Dar es Salaam so far.

However, Mr Tendwa said that even if the party had applied for registration, it still did not deserve such publicity. The Registrar said that normally registration of a new political party takes time before it can be allowed to operate.

"There are many applications for registration of new political parties, but these are still pending. They could be accorded provisional registration by March," he said. He fell short of saying whether legal action could be taken against the new party leaders.

Meanwhile, Mr Tendwa announced the revocation of the provisional registration of People's Democratic Movement (PDM), an opposition political party, for failure to meet legal obligations.

He said that the party, led by Mr Joseph Minja, has been revoked for failure to abide by Political Party's Act no. 5 of 1992, which demands that a party should have more than 200 members for each region from 20 regions.

Meanwhile, another political party, the Democratic National Congress (DNC), has been denied extension of provisional registration.

The same law states that provisional registration of a political party should not exceed 180 days. DNC was seeking extension for the third time which exceeds the deadline. The party was registered in 2008.
 
Kuhusu issue ya mafao nina uhakika atakua amepat ushauri wa kisheria. Nimejaribu kuangalia sheria, the Political Service Retirement Benefit Act, Chapter 225 of the Laws of Tanzania Revised Edition, 2002. Katika kifungu cha 21 kinasema;

"21. Benefits to former Member of Parliament

(1) A leader who held the office of the Parliament shall, upon ceasing to hold office, be granted gratuity of the sum equal to forty percent of his salary for each complete month of his service payable in lumpsum.

(2) The payment made in pursuance to subsection (1) shall be calculated on the basis of total number of months which the leader held office of the Member of Parliament.

(3) The former Member of Parliament shall in addition to the benefits granted under subsection (1) be granted a winding up allowance of a sum equal to twenty percent of the total sum of the salaries he received in twenty four months."

Hiki kifungu kinaonesha kwamba atapata mafao yake kama kawaida kwa kipindi cha miezi arubaini aliyokuwa mbunge.

Na Mpendazoe amekoma kuwa Mbunge kwa mujibu wa ibara ya 71(1) (f) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, RE. 2005. ambayo inasema;

"71(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo;-

(f) iwapo Mbunge ataacha kuwa mwanachama wa chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa au alipoteuliwa kuw Mbunge;"
 
Mimi sijui Sita na Mwakyembe wanaogopa nini au nini cha zaidi wanachotegemea kupata,timkeni wakati ndio huu,ni kama Kenya

mbona mna haraka jamani.. hata wakitimka watu wengine hawatoamini kwa sababu wamezoea sana geresha. Haya kibereko!!
 
Hongera Mpendazoe ww unamaanisha hujali viposho kwani vina faida gani kwa mtu wa kimapinduzi kama ww km haviwezi kumkwamua mtz wa kawaida. Kweli Ulimaanisha kwa kusema CCM imekwishafilisika na inakumbatia wenye nacho. Nenda kwa walio wengi wenye mamlaka na nchi hii.
 
-Sasa mimi naona inabidi baada ya kikao cha bajeti cha Bunge wakitopka sasa watoke kundi kubwa

Mimi kwa kweli namsikitikia Comrade Jakaya mrisho Kikwete,anapita katika wakati mgumu sana.Chiligati sijui hali yake ikoje maanake alisema hakuna kiongozi atakayetoka CCM kwenda CCJ,sasa mpendazoe alikua mwanachama wa CUF,CHADEMA au ?Hao jama wapeperushe tu bendera yao nusu mlingoti au upside down safari hii
 
Back
Top Bottom