hahah... kweli mpendazote.............
angalau sasa wafadhili wa CCJ wanaanza kujitokeza.................siamini kama utakuwa uamuzi wa busara............ lakini naamini utajenga demokrasia...................
all the best mpiganaji..............
Mwacheni aende atuachie Chama Chetu.
Kama mtu anashindwa kushawiji hoja ndani ya vikao vya chama, na agenda zinapoamuliwa akatika bila kuridhika na kuishia kunung'unika kwenye vyombo vya habari, basi huyo si mwenzetu!
He was a liability, opportunistic and actually a spent force. Kama kuna wengine wenye mtazamo kama wa mwanasiasa huyu, ni bora wamfuate mapema kwani kwenye uchaguzi mkuu watachujwa na hawatapewa nafasi ya kugombea.
Mkuu wewe ni mtetezi wa mafisadi ... just in case watu walikuwa hawajakuambia live hapa JF.
Mkuu wanaojenga demokrasia nchi hii wanajulikana lakini bwana Mpendazote anajenga domokrasia.Angekuwa mtu asiye-endeshwa na njaa angejitoa CCM mapema sana, siyo kipindi cha uchaguzi.
Mkuu wanaojenga demokrasia nchi hii wanajulikana lakini bwana Mpendazote anajenga domokrasia.Angekuwa mtu asiye-endeshwa na njaa angejitoa CCM mapema sana, siyo kipindi cha uchaguzi.
Mkuu Patrick .. umejuaje kuwa Mpendazoe alikuwa anatimuliwa soon? au wewe ndio walewale .....?
Mkuu kama wangekuwa ni wapiganaji wa kweli wa ufisadi wangeondoka CCM miaka kadhaa iliyopita, imebaki miezi michache kwenda kwenye uchaguzi wanajifanya wapiganaji wa kweli. Hakuna kitu nao vile vile ni mafisadi. Wapiganaji wa kweli ni wale wanao chukua hatua mara jambo la kijinga linapofanyika.Mpendazoe alikuwa anatimuliwa soon.
HA HA HA - Wanaoendeshwa na njaa ni mafisadi walioko CCM wanaogombania kuitafuna nchi. Fred angekuwa mlafi angebakia CCM kufanya ulafi.
Kwa kanuni zilizopo watamkokotolea mafao yake hadi siku alipoacha ubunge. Hiyo nilikuwa namjibu mwananchi mmoja aliyekuwa anamshangaa huyu bwana kuacha hela za bunge na kwenda upinzani kuliko na umaskini. Hata kama ingekuwa hapati mafao kabisa nadhani sio hoja madamu utashi wake umeamua hivyo.
Mkuu kama wangekuwa ni wapiganaji wa kweli wa ufisadi wangeondoka CCM miaka kadhaa iliyopita, imebaki miezi michache kwenda kwenye uchaguzi wanajifanya wapiganaji wa kweli. Hakuna kitu nao vile vile ni mafisadi. Wapiganaji wa kweli ni wale wanao chukua hatua mara jambo la kijinga linapofanyika.Mpendazoe alikuwa anatimuliwa soon.
Huu ni unafki hakuna lolote
huyu jamaa tangu awali alikuwa anajua kwamba kule jimboni hapati kitu kabisa
sasa anahaha kwa maana ya kuona namna ya kurudi kwenye jimbo
Mwacheni aende atuachie Chama Chetu.
Kama mtu anashindwa kushawiji hoja ndani ya vikao vya chama, na agenda zinapoamuliwa akatika bila kuridhika na kuishia kunung'unika kwenye vyombo vya habari, basi huyo si mwenzetu!
He was a liability, opportunistic and actually a spent force. Kama kuna wengine wenye mtazamo kama wa mwanasiasa huyu, ni bora wamfuate mapema kwani kwenye uchaguzi mkuu watachujwa na hawatapewa nafasi ya kugombea.
Kitila,Kwa kanuni zilizopo watamkokotolea mafao yake hadi siku alipoacha ubunge. Hiyo nilikuwa namjibu mwananchi mmoja aliyekuwa anamshangaa huyu bwana kuacha hela za bunge na kwenda upinzani kuliko na umaskini. Hata kama ingekuwa hapati mafao kabisa nadhani sio hoja madamu utashi wake umeamua hivyo.
Looser!!!
Umekurupuka kuandika hii habari...makosa ya lugha kibaooo...hv umepitia shule ya msingi wewe kweli...but thanks for ur useful post...
You mean Loser! Watch spelling. But I say WINNER!!!!!