Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Nilikuwa nafikiri mda wote kilichowatoa CCJ machozi pale ktk kaburi la Nyerere, sikuelewa walikuwa wanamaana gani.

Kumbe falsafa ya yale machozi sasa naiona ni kwamba, Nyerere awahurumie CCJ kwa kukivunja chama alichokianzisha CCM.
 
Wameanza!!!
 
Swali la msingi ni je, amerudisha kadi ya CCM au amejitoa CCM rasmi? kwa sababu kwa sheria za nchi yetu mtu akijiunga na chama kingine halazimiki kujitoa kwenye chama alichokuwa mwanzo. Hivyo basi, iwapo hatajitoa rasmi CCM, ataendelea kuwa mbunge mpaka atolewe au kujitoa CCM.
Kuna wale wanaojiunga na vyama vingine huku wakibaki na kadi zao za CCM, yaani wana dual membership. Je, Mpendazoe atarudisha kadi ya CCM au ataitunza chini ya godoro?
 
Sasa kama u dont give a damn .. then mbona unalia lia? Kama u dont give a damn .. then ...pick it up and stay high!
 
Sasa kama u dont give a damn .. then mbona unalia lia? Kama u dont give a damn .. then ...pick it up and stay high!

Haha nime kulilia wewe? Pls tuongee hoja. Ungekua na hoja unge chambua post yangu block by block which you didn't. kama huna hoja endelea na thread.
 
Huu ndio msimamo halisi wa Mtanzania ambaye

  • Baada ya kuishi kwenye giza totoro, amekuwa kama kipofu - mwanga kwake wa nini ?
  • Baada ya kupiga kambi kwenye dampo, ameshaathirika afya - hewa safi kwake ya nini ?
  • Baada ya kuishi kwa kutupiwa makomdo, ameshiba anachapa usingizi - lishe bora ya nini ?
  • Baada ya kuzoea vya kunyonga, amepoteza kabisa ujasiri wa kuchinja - kisu kwake cha nini ?
  • Baada ya kuzoea vya bwerere, atawapata wapi baba na mama siku CCM ikipigwa chini ?

Heko Fred Mpendazoe, kitendo chako ni cha ujasiri hata kama kitabezwa na mafisadi. Hukufanya hivyo kimya kimya, hapana - umeutangazia Umma na kwa sababu hiyo binafsi nakupongeza kwani ni kama umewasha taa na wote waliokuwa gizani sasa wanaweza kuona. Hata kama wataendelea kufumba macho, sisi tunawaona kwani kumekucha na kila wanavyojitahidi kuzijificha nyuso zao ndivyo tunavyozidi kuwamulika. Humu ndani utawatambua tu kama huyo hapo juu !
Once we were blind but now we can see.
 
You are very true MMKJ kuna watu humu walikuwa wanasema mbona wapambanaji wenyewe wamejificha wanasemea kwenye chama la mafisadi wakasema wakijitokeza tu ndipo tutawa support sasa leo wameanza kujitokeza wale wale wamebadili msemo eti kwa nini hawakujitoa zamani sijui walitaka lini mwaka 1980 kweli binadamu ndivyo tulivyo haturidhiki
 
So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?

You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
 
Haha nime kulilia wewe? Pls tuongee hoja. Ungekua na hoja unge chambua post yangu block by block which you didn't. kama huna hoja endelea na thread.

Unachekesha kweli .. kuchambua post block by block ndio principle ya nani tena! Uandike utumbo, kisha uanze kulia lia kuwa watu watakuita mtetezi wa ufisadi - kitu ambacho nimekifanya immediately, kisha unataka nini tena.

BTW ... Mag3 kajaribu kukuelimisha hapa:

You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.

Kitu ambacho so far hujafanya .. the so called mchambuzi wa JF ... grrrrrrrrr
 
Haha utumbo? Umekosa hoja na huyo Mag3 wako nimemjibu. I'm sorry you are not making any sense. Mimi silii unaweza kuniita mtetezi wa mafisadi like I said what you think doesn't bother me. Wewe ndiyo unaendelea ulia lia kuwa mimi nalia lia. hahaha.
 
Wewe ni mtetezi wa mafisadi .. are u gonna give a damn or what!?
 
The so called mchambuzi? Mh I did not know I was given that title. I humbly accept it.

You just call yourself so ... unataka matawi ambayo huwezi na sioni kama utakuja kuyafikia karibuni. "Kamchambulie" Makamba kule Lumumba "block by block"
 
You just call yourself so ... unataka matawi ambayo huwezi na sioni kama utakuja kuyafikia karibuni. "Kamchambulie" Makamba kule Lumumba "block by block"

I just called myself so? Hehehe masikini. I don't know whether to laugh at you or feel sorry for you. Kama ndizo argument zako hizi ndiyo maana hatuendelei. you see that's where I see you got some personal issue you want to resolve na you are not interested in the real issues. O.k. mkuu quote me where I called myself so. I dare you to show JF where I called myself "mchambuzi wa Jf" Hope you can produce the evidence.
 
Je Serikali ya CCM itaacha demokrasia ichukue mkondo wake au ndio kutakuwa na mbinu za delaying tactics kama ilivyo kwa mgombea huru? Twasubiri tuone. Hivi lile dafrari la CCJ lililotoweka Pemba limepatikana?
 
ohh ...start with this one..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…