Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unajua hili mkuu ....unachouliza ni nini? Au unataka kujiita mtetezi wa upumbafufu?
- Tungekuwa waangalifu kwanza, tujue nia na madhumuni kabla ya kutoa hukumu za haraka haraka, wa-Tanzania tumeumizwa sana na hawa viongozi ambao wengi ni wadanganyifu, ingawa kitendo alichokifanya kinatia moyo na ni changamoto nzito sana kwa wengine, wote wa CCM na Upinzani!
- Lakini binafsi ninataka kua muangalifu, ninahitaji more facts za ni kwa nini huyu Mpendazoe, amejitoa tena saa kama hizi za majeruhi nitafutailia facts zote huko behind the scene na kuziweka hapa, ninachotaka kujua ni kama he is for real maana Muungwana sio mjinga moja ya strength zake ni kampeni za urais naona kama tunasahau vile, lakini so far so good! na Bravo Mpendazoe!
Respect.
FMEs!
Nadhani chama ambacho amekiacha ndo kishakuwa liability. Ni kweli katoka nimesikia mahojiano yake na BBC Msekwa naye kakubali. It's another continuation of the end!Mwache aende zake - ameshakuwa "liability" na angebakia CCM "tungempiga chini" katika kura za MAONI!
FMEs!
Naweza ku-speculate with certainty, kwamba huyu bwana kajitoa CCM kwa sababu ni Chama Cha Mafisadi ..... amejitahidi sana kutaka "kuleta change", akiwa ndani ya CCM lakini ameshindwa .... na kwa hivyo ameamua kujitoa; ingawa nina uhakika pia kwamba asingeteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, hii ni kutokana na msimamo wake mkali wa kujipambanua na mafisadi ndani ya CCM (ambao ndiyo wamejazana kule kamati kuu).
Msikilize angalu kidogo huyu
Nani? Mpendazoe? Hakuna kitu huyo. ALikuwa afukuzwe na NEC next week kawashtukia. Hata CCJ watamwona he is a problem. Mtu alimtesa mkewe mapaka akawa mlokole yule mama. Masikini she died about three months ago. Mtaona tu tunayoyasema. Atawasumbua sana. The good news he is a political lightweight wala siyo Kigogo. Halafu CCJ kuja kupata usajili wa kudumu next yeaaar!! Hapo sasa. Mimi naona mahesabu kachemsha. Yaliyomfika Njelu Kasaka na yeye pia atajikuta peke yake.
Hongera sana Mpendazoe. Tunahitaji wengine kama wewe wajiengue CCM kipindi hiki. Nimekukubali kwamba wewe ni mpinga ufisadi halisi. Sasa tunataka kuona wengine wanakufuata maana kila ngoma ina mwanzo.
So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?
You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
Hongera sana Mpendazoe. Tunahitaji wengine kama wewe wajiengue CCM kipindi hiki. Nimekukubali kwamba wewe ni mpinga ufisadi halisi. Sasa tunataka kuona wengine wanakufuata maana kila ngoma ina mwanzo.
Kweli huenda wengi wakitoka Msekwa na kundi lake wataona kuwa Mpendazoe si ndoo moja ya maji katika mto rufiji kama alivyoongea na mwandidhi wa BBC, Ila Msekwa anaoneka ana sauti ya woga na kuanza kulalamika bila kujibu maswali, wengi watafuata- eti akutukutanae hakuchagulii tusi na Mpendazoe kawatukana kusema chama kimeingiliwa na wafanyabiashara wanaolinda masilahi yao.
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/check/swahili/meta/tx/swahili_1530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1
mwanakijiji its like you are in my head... nimekuwa skeptical kutokana na experience yangu fupi na maisha haya... kuna wakati natamani kuangalia isidingo badala ya JF, lakini siwezi kwani JF is more significant to my life that any thing else in my lifeKidatu.. hata wakitoka wengine hakuna mtu ataamini watatafuta mambo mepesi mepesi ya kuelezea. Unadhani hata akitoka Kikwete CCM watu wataamini? HIvi akitoka Sitta unajua watu watasema nini? Katika hili hali imekuwa ni "damned if you do and damned if you don't"..
Kidatu.. hata wakitoka wengine hakuna mtu ataamini watatafuta mambo mepesi mepesi ya kuelezea. Unadhani hata akitoka Kikwete CCM watu wataamini? HIvi akitoka Sitta unajua watu watasema nini? Katika hili hali imekuwa ni "damned if you do and damned if you don't"..