Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

- Tungekuwa waangalifu kwanza, tujue nia na madhumuni kabla ya kutoa hukumu za haraka haraka, wa-Tanzania tumeumizwa sana na hawa viongozi ambao wengi ni wadanganyifu, ingawa kitendo alichokifanya kinatia moyo na ni changamoto nzito sana kwa wengine, wote wa CCM na Upinzani!

- Lakini binafsi ninataka kua muangalifu, ninahitaji more facts za ni kwa nini huyu Mpendazoe, amejitoa tena saa kama hizi za majeruhi nitafutailia facts zote huko behind the scene na kuziweka hapa, ninachotaka kujua ni kama he is for real maana Muungwana sio mjinga moja ya strength zake ni kampeni za urais naona kama tunasahau vile, lakini so far so good! na Bravo Mpendazoe!

Respect.

FMEs!
 
Kama unajua hili mkuu ....unachouliza ni nini? Au unataka kujiita mtetezi wa upumbafufu?

Msikilize angalu kidogo huyu
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=J_-u7JfBR78"]YouTube- MAJARIBU bahati bukuku[/ame]
 
Kwa mtizamo wangu naona anastahili sifa sana. Ninawashangaa wanaodhani kuwa angengoja kwanza achukue chake. Kwanza angejiuzulu kama mwaka juzi agelitia Taifa hasara, maana kungekuwa na uchaguzi mwingine mdogo ambao ungejeuka ulaji kwa CCM nk. hilo ni pamoja na kwamba angekuwa amesababisha kuwe na muda mrefu wa jimbo hilo kuwa halielewi mwelekeo wa siasa za nchi. Huu ndiyo wakati mwafaka kwa mwanasiasa mahiri kuachana na chama kisichojali nchi nzima na wananchi wake wote. Binafsi nampongeza sana. Kilichobakia ni kungoja kidogo tuone nyongeza ya tukio hili. Asante F. Mpendazoe, Godbless you!
 
- Tungekuwa waangalifu kwanza, tujue nia na madhumuni kabla ya kutoa hukumu za haraka haraka, wa-Tanzania tumeumizwa sana na hawa viongozi ambao wengi ni wadanganyifu, ingawa kitendo alichokifanya kinatia moyo na ni changamoto nzito sana kwa wengine, wote wa CCM na Upinzani!

- Lakini binafsi ninataka kua muangalifu, ninahitaji more facts za ni kwa nini huyu Mpendazoe, amejitoa tena saa kama hizi za majeruhi nitafutailia facts zote huko behind the scene na kuziweka hapa, ninachotaka kujua ni kama he is for real maana Muungwana sio mjinga moja ya strength zake ni kampeni za urais naona kama tunasahau vile, lakini so far so good! na Bravo Mpendazoe!

Respect.

FMEs!

FMEs!

Naweza ku-speculate with certainty, kwamba huyu bwana kajitoa CCM kwa sababu ni Chama Cha Mafisadi ..... amejitahidi sana kutaka "kuleta change", akiwa ndani ya CCM lakini ameshindwa .... na kwa hivyo ameamua kujitoa; ingawa nina uhakika pia kwamba asingeteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, hii ni kutokana na msimamo wake mkali wa kujipambanua na mafisadi ndani ya CCM (ambao ndiyo wamejazana kule kamati kuu).
 
Mwache aende zake - ameshakuwa "liability" na angebakia CCM "tungempiga chini" katika kura za MAONI!
Nadhani chama ambacho amekiacha ndo kishakuwa liability. Ni kweli katoka nimesikia mahojiano yake na BBC Msekwa naye kakubali. It's another continuation of the end!
 
- Mkuu pole pole, hili la kutosubiri mafao linahitaji careful examination bin-adam hakimbii jasho lake alilolifanyia kazi bila sababu za msingi, sasa ni muhimu tukajua kama ameziacha kwa sababu ya uchungu wake kwa taifa na sisi wananchi walalahoi au something else na ninaamini kwamba ni kwenye hii ya kwa nini anakimbia mwishoni anyways tena mpaka mafao, ndio tutapata jawabu la kwa nini amejiondoa CCM na what kuondoka kwake means kwa taifa,

-Iingawa bado anastahili heshima kubwa sana kwa maneno aliyoyasema kwenye mkutano wake wa leo, infact ni maneno mazito sana ambayo hata wapinzani wengi maarufu katika taifa letu wameshindwa kuyatamka at anytime, Salute kwa Mpendazoe!

Respect.

FMEs!
 
FMEs!

Naweza ku-speculate with certainty, kwamba huyu bwana kajitoa CCM kwa sababu ni Chama Cha Mafisadi ..... amejitahidi sana kutaka "kuleta change", akiwa ndani ya CCM lakini ameshindwa .... na kwa hivyo ameamua kujitoa; ingawa nina uhakika pia kwamba asingeteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, hii ni kutokana na msimamo wake mkali wa kujipambanua na mafisadi ndani ya CCM (ambao ndiyo wamejazana kule kamati kuu).

- Mkuu nenda pole pole unaona watuwazima wote hapa JF wametulia so far, fanya utafiiti kwanza ndugu yangu badala ya kukuru kakara! Matatizo ya baadhi ya viongozi huko CCM yanaeleweka, lakini baada ya kuumwa na nyoka kama kina Lamwai, Kaburu, Tambwe, Mrema na Marandu bin-adam au mwananchi yoyote anatakiwa kuwa muangalifu sana na this kind of moves, hasa za dakika ya mwisho kuelekea uchaguzi!

- Fanya utafiiti kwanza mkuu, ingawa bado alichokifanya ni sawia sana!

Respect.

FMEs!
 
Nani? Mpendazoe? Hakuna kitu huyo. ALikuwa afukuzwe na NEC next week kawashtukia. Hata CCJ watamwona he is a problem. Mtu alimtesa mkewe mapaka akawa mlokole yule mama. Masikini she died about three months ago. Mtaona tu tunayoyasema. Atawasumbua sana. The good news he is a political lightweight wala siyo Kigogo. Halafu CCJ kuja kupata usajili wa kudumu next yeaaar!! Hapo sasa. Mimi naona mahesabu kachemsha. Yaliyomfika Njelu Kasaka na yeye pia atajikuta peke yake.

Asnte mkuu Tendwa tumekusikia juu ya usajili wa CCJ!!!! Alikuwa...... kwa hiyo kawapiga bao la kisigino sio?

Tiba
 
- CCJ watapata usajili mwaka huu na watashiriki uchaguzi kwa nguvu ya wafadhili, lakini are they for real au? ni yale yale tu, binafsi simfahamu vizuri huyu Mpendazoe vipi ikiwekwa record yake kama ipo?

Respect.

FMEs!
 
Hongera sana Mpendazoe. Tunahitaji wengine kama wewe wajiengue CCM kipindi hiki. Nimekukubali kwamba wewe ni mpinga ufisadi halisi. Sasa tunataka kuona wengine wanakufuata maana kila ngoma ina mwanzo.
 
Kidatu.. hata wakitoka wengine hakuna mtu ataamini watatafuta mambo mepesi mepesi ya kuelezea. Unadhani hata akitoka Kikwete CCM watu wataamini? HIvi akitoka Sitta unajua watu watasema nini? Katika hili hali imekuwa ni "damned if you do and damned if you don't"..
 
So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?

You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.

Ndugu mwanafalsafa umeuliza swali au maswali ambayo hayatakiwa
kulizwa kwa kipindi hiki.

Sijaona sababu ya wewe kuitwa au kuonekana unatetea mafisadi post yako ya kwanza ilionyesha unavyowaza wewe. Kuna vitu viwili vinavyoendelea sasa hivi

ambavyo ni

1. CCM iondoke no matter what
2. Any one who supports CCM ni fisadi

Hizo issue mbili hapo juu ni kubwa mno na utakuja kugundua kuwa unachosema si sahihi kama tunaangalia point number moja tu. kwa sababu tumechoka then CCM iondoke! I am also agreeing with this , hivyo kwa hali ya sasa hongera na shukrani zimwendee Mpendazoe

Point ya pili ni paradox na ambayo kwa sasa is not applying due to our current situation. Hivyo kuita fisadi haimaanishi ni fisadi, au kuambiwa mtetea fisadi kwenye forum haimaainishi uko hivyo. Point number ya pili ni kuwa we need to evaluate every move ya siasa zinazoendela nchini mwetu.

Mpendazoe kaondoka well and good. the next questions is. His he for real? what makes him to decide this time? why is going to CCJ? what is he planning? CCJ inaweza isifanye uchaguzi mwaka huu, hivyo na yeye anaweza asichaguliwe, je lengo hapa ni nini? kwa nini hakwenda chadema au CUF ? Sijaona na kamwe sitaona ubaya wa kuuliza haya maswali!!! kama nina uhuru wa fikra maswali yako hayakwepeki kabisa!

Nilichofurahia sana kuhusu issue ya Mpendazoe ni kuwa kawaanika wana JF wengi sana ambao ni wanafiki wa fikra na nafasi zao

1. Kuna tabia humu ya kusifia baadhi ya wabunge na waliitwa wapiganaji, je hawa wapiganaji leo hii ukiwaweka mizani moja na mpendazoe nani zaidi?

2. Je kusifiwa kwa wale wabunge wa CCM ni upungufu wa akili zetu? kwa nini usifie baadhi ya watu ndani ya CCM na leo akiondoka huyu CCM inapondwa? ina maana wale waliokuwa wanamwaga sifa kwa wabunge wapiganaji walikuwa wanafanya hivyo kama jadi? kufuata mkumbo, au ni nini hasa?

3. Mpendazoe kaondoka, yes we are happy, je akili na uwezo wetu umefikia hatua ya kusubiri CCM imeguke? na kamani hivyo ina maana wapinzani tulio nao hamna kitu, ni debe tupu?

4. Je Mpendazoe kwenda CCJ ana maana gani?

Chadema imenzishwa mwaka 1992, na ina mizizi zaidi ya CCJ kwa nini hakwenda chadema? je mpendazoe ana itikadi au fikra za kidikteta kwa hiyo anataka akienda CCJ apewe uenyekiti, japo hatuna hakika kuwa watashiriki kwenye uchaguzi, na wakishiriki kwenye uchaguzi Mpendazoe atataka kugombea urais?

5. Je leo Chenge , Rostam wakihamia Chadema watapokelewa? na wakiondoka watakuwa wameondoka kwa sababu gani? AU let me ask this,sababu gani alizozitoa Mpendazoe kwa kuhama CCM? na hizo sababu tuna hakika gani kuwa ni genuine? how long Mpendazoe ameshakuwa ndani ya CCM? na how far are sure kuwa naye siyo fisadi?

6. Je tangu wana CCM walipohamia na kuja kwenye upinzani , how can we evaluate their efficiency? yaani nataka kujua kama Mpendazoe siyo mamluki how can we know without asking questions?

7. Mpendazoe kaondoka CCM yet hajaenda kwenye vyama vikubwa vya siasa ambavyo vingi sisi ni wapenzi wa hivyo na tunaviita mbadala, je kuna matatizo kwenye hivyo vyama? ina maana na matumaini yetu yote haya ya kuvipenda na hivi vyama hayawi appreciated ni huyu X-ccm member? hapa nachoka , ndiyo unaona maswali ya mwanafalsafa ni mazuri kwa sababu we real need to evaluate, siyo kuwa huyu anayeshabikiwa hana mawazo SAWA NA SISI??

8.Tukisema hata CCJ ni chama cha siasa na kama sisi cuf au chadema is juts ok, kwa sababu ni mpinzani, je ni mara ngaopi kuna magomvi ya wapinzani kw wapinzani, kuwa mnwanachama mmoj aakisema atakipigia kampeni NCCR basi maneno? is this not a double standard

Maswali hayo hapo juu I think are common to ask each other no matter how situation we are in, through questions, we can reasons logically, we can get reasonable answers, through questions we can explorer and find ourselves how are we fit in

These questions will also screen us to know who real know how is our enemy CCM is? However, how much Mpendazoe stimulate our political situation and our fights against corruption but we should also be able to ask ourselves freely asking is not reproaching, is only means of keeping us alive and certainly sensible people at that very time of excitation!

Kama na mimi kwa kuuliza maswali nitaonekana m'baya basi anayewatenga watu kuwa hawa ni mafisadi na hawa ni wasafi kamwe asisite kuniweka kundi moja na Mwanafalsafa. I am exercising my free thinking!!

Nimefurahi lakini lazima niulize!!

Na ni vizuri watu kuwa na vitu mnavyoamini na kusimamia ili wakati mtu usije kuumbuliwa kwa matendo. KWA imani yangu CCM wote ni mafisadi na nothing good can come out of CCM! wakitokea kama hawa ninafurahi kuwa wanahukumiwa na asili !
 
Hongera sana Mpendazoe. Tunahitaji wengine kama wewe wajiengue CCM kipindi hiki. Nimekukubali kwamba wewe ni mpinga ufisadi halisi. Sasa tunataka kuona wengine wanakufuata maana kila ngoma ina mwanzo.

Kweli huenda wengi wakitoka Msekwa na kundi lake wataona kuwa Mpendazoe si ndoo moja ya maji katika mto rufiji kama alivyoongea na mwandidhi wa BBC, Ila Msekwa anaoneka ana sauti ya woga na kuanza kulalamika bila kujibu maswali, wengi watafuata- eti akutukutanae hakuchagulii tusi na Mpendazoe kawatukana kusema chama kimeingiliwa na wafanyabiashara wanaolinda masilahi yao.
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/check/swahili/meta/tx/swahili_1530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1
 
Mpendazoe katambua kuwa ni vigumu kumwongoza shetani sala ya toba yaani ni akili chafu tu ndio itakayoamini kuwa kuna siku CCM itabadilika. CCM haiwezi kubadilika kamwe hivyo wenye nia njema na nchi hii waiache, wajiunge na wenye nia ya kkuleta mabadiliko ndani ya nchi .

Mpendazoe kafanya kweli, Lembeli anashtuka, haamini kama Mpendazoe kaamua kujiunga na CCJ, nia ajabu anayejiita kamanda kumshangaa kamanda aliyeamua kwa dhati.

Tuwasubiri wenye ujasiri wa kuchukua hatua ya kuondoka CCM,
 
Kweli huenda wengi wakitoka Msekwa na kundi lake wataona kuwa Mpendazoe si ndoo moja ya maji katika mto rufiji kama alivyoongea na mwandidhi wa BBC, Ila Msekwa anaoneka ana sauti ya woga na kuanza kulalamika bila kujibu maswali, wengi watafuata- eti akutukutanae hakuchagulii tusi na Mpendazoe kawatukana kusema chama kimeingiliwa na wafanyabiashara wanaolinda masilahi yao.
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/check/swahili/meta/tx/swahili_1530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1

Msekwa needs to retire...
 
Naomba nisitoe maoni yangu mpaka baada ya tarehe 8 Aprili 2010! Bado naona kuna mambo mawili hapa; mtu kuwa mkereketwa na kuamua kuachia mafao, au kujua kinachoendelea ndani ya CC, NEC .........na hivyo kuamua kuruka kwenye jahazi kabla ya wakati.
 
Kidatu.. hata wakitoka wengine hakuna mtu ataamini watatafuta mambo mepesi mepesi ya kuelezea. Unadhani hata akitoka Kikwete CCM watu wataamini? HIvi akitoka Sitta unajua watu watasema nini? Katika hili hali imekuwa ni "damned if you do and damned if you don't"..
mwanakijiji its like you are in my head... nimekuwa skeptical kutokana na experience yangu fupi na maisha haya... kuna wakati natamani kuangalia isidingo badala ya JF, lakini siwezi kwani JF is more significant to my life that any thing else in my life

I am praying and praying that i understand all this farce ya CCJ ni nini
 
Kidatu.. hata wakitoka wengine hakuna mtu ataamini watatafuta mambo mepesi mepesi ya kuelezea. Unadhani hata akitoka Kikwete CCM watu wataamini? HIvi akitoka Sitta unajua watu watasema nini? Katika hili hali imekuwa ni "damned if you do and damned if you don't"..

- Mkulu wangu watoke kwa ajili ya masilahi ya taifa na sio kwa sababu wanataka kufukuzwa, maana one mistake ya CCJ Tanzania hatutakuja kuona mwanga tena, huko CCJ lazima wawe waangalifu sana na wanaowapokea maana huenda CCJ is the messiah we have been waiting for!

- Mimi ninawashauri na wengine huko Upinzani kwamba wakati ni huu!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom