Kweli huenda wengi wakitoka Msekwa na kundi lake wataona kuwa Mpendazoe si ndoo moja ya maji katika mto rufiji kama alivyoongea na mwandidhi wa BBC, Ila Msekwa anaoneka ana sauti ya woga na kuanza kulalamika bila kujibu maswali, wengi watafuata- eti akutukutanae hakuchagulii tusi na Mpendazoe kawatukana kusema chama kimeingiliwa na wafanyabiashara wanaolinda masilahi yao.
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/check/swahili/meta/tx/swahili_1530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1
Ukitaka kupata mahojiano na BBC peleka player mbele karibu na mwisho, maana haya ni matangazo ya saa nzima na mahojiano nafikiri yapo katika dakika za 50+