Duh kweli KUA uyaone.
Uzuri Rais hatetereki anasimama na anachokiamini wanaompinga lazima wampinge ili wasisahaulike.Na ukisha kua na hujayaona, ujue ni mfu unatembea! Mh. Rais anapigwa kila kona, lazima tumtetee.
Quote: I never seen a strong and great man with an easy past.
Leo umekuwa mnyonge mkuu kulikoni umeandika kinyonge hivyo!!!tunajua hilo lakini jpm anakosea step.
swissme
Yaaa kweli kabisa maana ata rais Idd Amin aliamini kua vilema hawana haki ya kuishi na akatekereza hayo lkn watu wengi walimpingaUzuri Rais hatetereki anasimama na anachokiamini wanaompinga lazima wampinge ili wasisahaulike.
Uzuri wananchi kikubwa wanamwangalia Rais nn anafanya au kasema nini na Upinzani wanajitahidi kupindisha wanachokisikia na kukiona.
Mkuu nakuelewa sana!! We ni moja kat ya magreat thinker humu Jf,..Na ukisha kua na hujayaona, ujue ni mfu unatembea...!! Mh. Rais anapigwa kila kona.. lazima tumtetee..
Quote: I never seen a strong and great man with an easy past..
Kumbe ubabe ni sera ya chadema mkuu kama sumaye alivyodaiRais wa JMT ndg JPM! Ambae si mwanasiasa anaandamwa kila kona ya nchi kwa ubabe na maneno yanayokatisha tamaa wapiga kura woote nchini!!!
Anataka kukatwa mkiaSumaye si ndio alisema inataka moyo kuwa mpinzani? Labda anajitarisha kurudi kundini.
Hahaha ni kazi kweli kweli.Anataka kukatwa mkia