Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shughuli ipoHahaha ni kazi kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughuli ipoHahaha ni kazi kweli kweli.
Anawaambia watu ukweli ila kwakua watu walishazoea kudanganywa wanamuona ni mbabe na mwenye kuwakatisha tamaa.Bora mbwa hai kuliko Simba mfu.Rais wa JMT ndg JPM! Ambae si mwanasiasa anaandamwa kila kona ya nchi kwa ubabe na maneno yanayokatisha tamaa wapiga kura woote nchini!!!
Leo mbona unaongea vizuri !! Vipi njjaa??!!!tunajua hilo lakini jpm anakosea step.
swissme
Tofauti Iddi Amin alikua hatekelezi ilani ya Obote na chama chake alkini huyu anatekeleza ilani ya UKAWA na kuitelekeza Ilani ya CCM.. hatari kweli mkiambiwa ukweli na Slaa kuwa CCM wamepandikiza virusi mnatukana.Yaaa kweli kabisa maana ata rais Idd Amin aliamini kua vilema hawana haki ya kuishi na akatekereza hayo lkn watu wengi walimpinga
Naona Wewe hujasoma vyema bandiko maana Sumaye alisema Magufuli anatumia hata mikakati ndugu yangu.Anaiga sera haigi mipango, mbinu,taratibu wala mikakati ya CHADEMA katika kutekeleza hizo sera.
Kwa mfano, kununua ndege kwa cash haikuwa sera ya CHADEMA.
Kununua ndege bila mpango kazi haukuwa mpango wa CHADEMA.
Kutumia fedha nje ya Bajeti kutekekeza miradi kama hii haikuwa dhamira ya CHADEMA.
kutekeleza hii miradi bila kuhusisha sekta binafsi ili kuipunguzia serikali gharama sidhani kama ndio ilikuwa sera ya CHADEMA.
Kukopa matrilioni mengi ndani ya muda mfupi ili kutekeleza hii miradi sidhani kama ulikuwa ni mpango wa CHADEMA wakishika dola.
Chadema kwisha kazi yenu.Anaiga sera haigi mipango, mbinu,taratibu wala mikakati ya CHADEMA katika kutekeleza hizo sera.
Kwa mfano, kununua ndege kwa cash haikuwa sera ya CHADEMA.
Kununua ndege bila mpango kazi haukuwa mpango wa CHADEMA.
Kutumia fedha nje ya Bajeti kutekekeza miradi kama hii haikuwa dhamira ya CHADEMA.
kutekeleza hii miradi bila kuhusisha sekta binafsi ili kuipunguzia serikali gharama sidhani kama ndio ilikuwa sera ya CHADEMA.
Kukopa matrilioni mengi ndani ya muda mfupi ili kutekeleza hii miradi sidhani kama ulikuwa ni mpango wa CHADEMA wakishika dola.
Hata Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zanzibar, Salum Mwalimu, alikiri Rais Magufuli kutekeleza Sera za CHADEMA. Hivi wanaomkosoa Magufuli na kujiapiza mioyoni mwao wanaelewa kweli Sera za Chama chao cha CHADEMA?
View attachment 808740