Fredrick Bundala (SKYWALKER) ingependeza ukawa na session ya wakongwe

Fredrick Bundala (SKYWALKER) ingependeza ukawa na session ya wakongwe

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Hakuna upinzani Fredrick Bundala(SKYWALKER) uwezo wako wakufanya kipindi cha mahojiano kivutie ni next level bila ya kujali unamhoji Star au Normal person.

Kuna mtangazaji kupitia channel yake alikuwa akimhoji Bizzman matarajio yangu ni kuwa interview itakuwa kali ila kimsingi yule host kazingua bigtime kafanya conversation zikawa boring nilishindwa kufikia hata dk ya tano nikaachana nayo japo nilitamani kusikia mengi kutoka kwa Bizzman.

Mimi miongoni mwa subscribers zako wa sns pale YouTube napendekeza utuletee wakali hawa waliotamba miaka ya 2000 kama wakina Bizzman, Rama D, Mad Ice, Marlaw, Q jay na wengine trust me mrejesho utakuwa mkubwa wengi wanatamani kuwasikia wakali hawa maana walitupa burudani wakati hakuna YouTube, Tik Tok, Instagram wala Facebook ila Ngoma zao zilikuwa hit song Tanzania nzima kuanzia Kagera Mutukula mpaka Mbeya Tunduma.

Kwa sababu maisha ni mafupi lolote linaweza kutokea basi jitahidi kuwaelekeza vijana jinsi ya kuhost vipindi na kuvutia watazamaji wengi.
 
Wasanii wa zamani interview zao ni nzuri,wanajuwa kuongea na kujibu maswali....
Wana story sana

Ova
 
Kati ya watu napenda kuwasikiliza ni Skywalker-NSN ,Lambert ,Kikeke
 
Back
Top Bottom