Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.

Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.

Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.

Cc: Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox.
 
Last edited by a moderator:
Haha na yeye awabane sasa!!
Anaanza saa 11 kamili na baadae anaungana nao..mtu kama Gerald Hando hanaga section maalum lakini anafit kote...ajitahidi tu kucop nao!!
 
Naweza nikakubaliana na wewe kuwa Fred amekosewa kuwekwa pale au kuna jambo wanatakiwa wafanye ili kidogo aonekane!

Kimsingi kile kipindi angetakiwa kuwa peke yake au wange baki yeye na Babra Hassan wange fit sana kuliko kwa sasa anavyo onekana kama hana kazi aifanyayo pale hasa kwenye masikio ya wasikilizaji!

Fred alipaswa kuandaliwa kipindi cha peke yake na ni mtangazaji mzuri sana tena sana...hata kama mtu akilipwa Tsh ngapi lakini kama kipaji chake hakitumiki huwa ni tatizo!
 
Fred who?

Huyu jamaa ni kipaji halisi anajiita Fredwaa alikuwa RFA anajurikana vyema na wafuatiliaji wa radio za Bongo, kipindi kama power breakfast ana uwezo wa kukiendesha peke yake, Nashangaa mpaka leo Boss Ruge hajabaini hili kosa wanalolifanya? huyu jamaa wambunie kipindi chake.
 
Namuona Alexis Sanchez wa Barcelona ni sawa na Fred wa Clouds. Sio Alexis yule alipokua Italy au wa sasa Arsenal
 
Namuona Alexis Sanchez wa Barcelona ni sawa na Fred wa Clouds. Sio Alexis yule alipokua Italy au wa sasa Arsenal

Tatizo siyo Fredwaa, tatizo ni meneja wa vipindi na uzalishaji kwa nini watu professional wanashindwa kuyagunduwa makosa ya wazi namna hii?

Najua wahusika wanasoma hapa fanyieni kazi jambo hili.
 
Miaka ile nimemaliza form six nipo tuu home nilikuwa sikosi kipindi cha Mr Vodacom RFA. Jamaa alikiwa anajua eti sasa hv ni kweli simuoni yule Fredwaa wa RFA.

Bado naamini Fredwaa siyo tatizo bali tatizo ni la meneja wa vipindi.
 
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.

Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.

Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.

Cc: Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox.

asante kwa kuliona hili mchizi anajua sana but kukaa meza moja na pj na gerard ni kosa la kiufundi hatoweza kusika ipasavyo!!
 
Last edited by a moderator:
fredwaaa ni bonge ya mtangazaji ever. yeye na milard ayo ndo watangazaji naowakubali.
wajaribu kumpa kipind chake ana kipaj na sauti ya kutangaza sana.
 
asante kwa kuliona hili mchizi anajua sana but kukaa meza moja na pj na gerard ni kosa la kiufundi hatoweza kusika ipasavyo!!

Kimsingi Fred na Babra ndio walitakiwa kubaki kwenye hicho kipindi..kinyume na hapo ni kama Fred anapokea mshahara wa bure tuu ..kuna kosa la ufundi hapa..
 
Kimsingi Fred na Babra ndio walitakiwa kubaki kwenye hicho kipindi..kinyume na hapo ni kama Fred anapokea mshahara wa bure tuu ..kuna kosa la ufundi hapa..

Ni ukweli mtupu mkuu naamini wahusika watalifanyia kazi haraka.
 
Bado naamini Fredwaa siyo tatizo bali tatizo ni la meneja wa vipindi.

Inawezekana kwel Meneja haoni pale jamaa anapwaya? Au hafahamu uwezo wa jamaa hapo kabla? Au ndo hujuma maana bongo fitna nyingi.
 
Matatizo yako binafsi, sioni shida mimi.
 
Nahisi labda ndio maana anaanzia saa kumi na moja alfajiri peke yake alafu wengine wanamjoin baadae. So by the time akina Gerald wanakuja yeye anakua hasikiki kivile ila Fredwaa ni mtangazaji mzuri na anakua hasikiki wanapokua kina Gerald kwa sababu yeye sio mropokaji.
 
Back
Top Bottom