Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

Tatizo siyo Fredwaa, tatizo ni meneja wa vipindi na uzalishaji kwa nini watu professional wanashindwa kuyagunduwa makosa ya wazi namna hii?

Najua wahusika wanasoma hapa fanyieni kazi jambo hili.

Hata kule Barca meneja ndio ilikua tatizo kwa Alexis
 
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.

Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.

Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.

Cc: Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox.

Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli mi sijui hata anafanya nini clouds..yupo yupo tu anaaoma sijui katuno zamagazeti basi
 
Kafunikwa vibaya na wenzake yeye alitakiwa atafute kipindu cha kufanya pekee yake ila pake amefunikwa mbali tu
 
Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?
Mpaka amechukukuliwa hapo maana yake yupo vizur, kama ungekuwa umewahi kumsikiliza usingecomment hivyo kwa kuleta mambo ya kabila. Unaweza ukamkuta mtu ametoka Rukwa au Kilwa kipatimu ukamwona wa ovyo na mlugaluga amekuja mjini kutafuta kumbe deal za mjini na michongo yote anaijua kumbe mkoa alienda kutafuta na aliwepo hapo hapo town sema those days radio kubwa zilikuwa chache ikiwepo RFA na Radio one na ndio chimbuko la watangazaji wengi ukiongeza na radio za Arusha nazo zimeleta vipaji
 
Kimsingi Fred na Babra ndio walitakiwa kubaki kwenye hicho kipindi..kinyume na hapo ni kama Fred anapokea mshahara wa bure tuu ..kuna kosa la ufundi hapa..

swadaktaaa....pj na gerard hamna kitu pale ni viropo ropo nadhani hata shule ni tatizo!
 
Miaka ile nimemaliza form six nipo tuu home nilikuwa sikosi kipindi cha Mr Vodacom RFA. Jamaa alikiwa anajua eti sasa hv ni kweli simuoni yule Fredwaa wa RFA.

Hasa ile sugemment yake ya sindano 5 za moto. Fredwaa kiboko.
 
Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?

Huna uwezo mkubwa wa kufikri nadhan humjui vizuri fredwaa ndo maana unabwabwaja tu maneno, ukabila umekujaje hapo fredwaa mtangazaji mzuri sana sema kipindi si type yake mwanza imetoa watu wazuri mbona kina Godwin Gondwe.
 
...tatizo ni muda mrefu wa vipindi ndiyo maana kuna story nyingi ambazo sometimes huwa wanaongea utani mwingi na vitu out of topics.... Masaa 12 vipindi vinne tu tena hiyo ni Monday to Friday.... Labda wangepunguza muda wa vipindi ili kipatikane kipindi kingine.
 
Sasa wakuu wakimtoa Nani ataacha usingizi wake aje kufungua redio saa kumi na moja asubuhi. Hapo ndio wamepata kilaza wao wa kumuonea
 
Ni mtangazaji mzuri na anakipaji, anatatakiwa atafutiwe kipindi na meneja wa vipindi clouds au atumie ubunifu wake kuandaa/kutengeneza kipindi chake mwenyewe?

Millard pale Radio one alikuwa anatangaza kipindi kinaitwa Milazo 101, alivyofika clouds akaanzisha Amplifaya.......ukisikiliza hivi vipindi vyote vya millard ni kama vinafanana tuu tofauti ni kuule Radio One ilikuwa ni kipindi cha jumapili tu while hapo clouds ni Monday to Friday. Kipindi alicho rithi millard ni top 20 tu.

So ni wakati wa Fred nae achague kuhamishia kipindi chake clouds na kukibadilisha kidogo kuondoa migongano au aendelee Kuwa kiraka hapo PB hadi atakapo subiri "kupewa"kipindi. Chake

Sent from JamiiForums
 
Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?

mbona pj katoka RFA,gondwe,gamba,fredrik bundala,basil mbakile,,, halafu kumbuka fredwah dar yupo kitambo toka enzi za times fm inaanzishwa
 
mbona pj katoka RFA,gondwe,gamba,fredrik bundala,basil mbakile,,, halafu kumbuka fredwah dar yupo kitambo toka enzi za times fm inaanzishwa

Utumbo na vichwa vya kuku vinamlevya huyo, juzi Nilimuona jamaa uswahilini anakula vichwa kuku lakini kwenye simu anamwambia mwenzake eti anakula kuku mattako bar.
 
Fredwaaa kiboko na lisauti lakee wee,na yule Groly Robyson mtoto wa mama sabuni sijui nae yupo wapii RFA ilitikisaaa sijui yupo wapi huyo dada
 
Back
Top Bottom