Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Tatizo siyo Fredwaa, tatizo ni meneja wa vipindi na uzalishaji kwa nini watu professional wanashindwa kuyagunduwa makosa ya wazi namna hii?
Najua wahusika wanasoma hapa fanyieni kazi jambo hili.
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.
Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.
Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.
Cc: Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox.
Anapotea vipi kabla ya kuwepo ?
Mpaka amechukukuliwa hapo maana yake yupo vizur, kama ungekuwa umewahi kumsikiliza usingecomment hivyo kwa kuleta mambo ya kabila. Unaweza ukamkuta mtu ametoka Rukwa au Kilwa kipatimu ukamwona wa ovyo na mlugaluga amekuja mjini kutafuta kumbe deal za mjini na michongo yote anaijua kumbe mkoa alienda kutafuta na aliwepo hapo hapo town sema those days radio kubwa zilikuwa chache ikiwepo RFA na Radio one na ndio chimbuko la watangazaji wengi ukiongeza na radio za Arusha nazo zimeleta vipajiYaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?
Kimsingi Fred na Babra ndio walitakiwa kubaki kwenye hicho kipindi..kinyume na hapo ni kama Fred anapokea mshahara wa bure tuu ..kuna kosa la ufundi hapa..
Miaka ile nimemaliza form six nipo tuu home nilikuwa sikosi kipindi cha Mr Vodacom RFA. Jamaa alikiwa anajua eti sasa hv ni kweli simuoni yule Fredwaa wa RFA.
Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?
Hasa ile sugemment yake ya sindano 5 za moto. Fredwaa kiboko.
Huyo dogo alikua noma toka shule alikua hawezi tamka jina lake vizuri ukimuuliza unaitwa nani anasema fred maswe wakti ni fred massawe
He! Kumbe fredwaa ni mnama
Ndgu yko huyo
Yaani atoke Mwanza moja kwa moja aje kutamba DSM? Kwanza kwa style yake ile ya kisukuma sukuma haiwez kuendana na kipindi kile!! Kipindi kile kinahitaji mzaha na uelewa wa mambo!! Jamaa haelewi mambo mengi yanayoendelea. Angebaki huko huko mwanza aendelee kupiga kelele bila sababu za msingi!!..unadhani anaweza kuhoji na kuuliza maswali ya msingi viongozi kama Pj na hando yule?
mbona pj katoka RFA,gondwe,gamba,fredrik bundala,basil mbakile,,, halafu kumbuka fredwah dar yupo kitambo toka enzi za times fm inaanzishwa