Kingo Janta
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 319
- 262
Ni sawa na kumsajili mchezaji mkubwa na kumuweka benchi
Ukweli ni kwamba wanaosikiliza clouds fm ni washamba , huwezi ukakuta mtu wa maana , mjanja na mwenye akili na heshima zake eti anasikiliza clouds ,,,,Tunakuzidi kila kitu pimbi wewe.
Ukweli ni kwamba wanaosikiliza clouds fm ni washamba , huwezi ukakuta mtu wa maana , mjanja na mwenye akili na heshima zake eti anasikiliza clouds ,,,,
hao wakina Diva na zamaradi ndio mnaona watu wa maana?? jamani mambo mengine ni aibu hata kuyasema mbele za watu
mimi bado siamini kama kuna mtu wa maana anayesikiliza cloudz
huyo ndugu mjinga anayesikiliza clouds simtaki , huyo ni ndugu mjinga..Acha matusi mbuzi wewe! Kuna ndugu zako tena wengine wanakuweka mjini na wanasikiliza clouds fm leo unawaita hawana maana! Kweli mfadhili mbuzi binadamu hana fadhila.
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho nimesikiliza RFA... yaani at least two years! Kwamba huyo jamaa ilikuwa ni lazima umsikilize nimeshituka kidogo coz' nilidhani pale Clouds ndio sehemu yake ya kwanza na kwamba hana uzoefu wowote! Kwangu mimi, the guy is horrible and Gerald Hando is too tough for the guy kwahiyo inabidi afanye kazi ya ziada kuweza kuchomoza mbele ya Hando na hata mbele ya PJ! Kwangu mimi, the guy is like a square peg in a round hole! Trust me, nilidhani pale Clouds na ile majuzi alipoanza kuwa PB ndo sehemu yake ya kwanza na kwamba bado ana studio and microphone fever!licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.
Sasa shida yangu ni huyu kijana Ferdwaa ambaye nikiri wazi ninamkubali sana na wakati yupo RFA nilikuwa sikosi kipindi chake cha asubuhi na vodacom lakini tangu ameamia clouds fm ni kwamba amefunikwa haswaa na Pj na Hando na hata msikilizaji huwezi kubaini kama Ferdwaa naye yupo.
Ushauri wangu kwa clouds media mnauwa talent ya Fredwaa yule Jamaa ana uwezo wa kuhost kipindi peke yake lakini kwa sasa pale mmekosea Hando na Pj wanambana, najua Boss Ruge unasoma hapa mbunieni kipindi chake Fredwaa mnauwa kipaji chake.
Cc: Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox.
Ukweli ni kwamba wanaosikiliza clouds fm ni washamba , huwezi ukakuta mtu wa maana , mjanja na mwenye akili na heshima zake eti anasikiliza clouds ,,,,
hao wakina Diva na zamaradi ndio mnaona watu wa maana?? jamani mambo mengine ni aibu hata kuyasema mbele za watu
mimi bado siamini kama kuna mtu wa maana anayesikiliza cloudz
na miss sindano tano za moto
namiss vichekesho vyake
nammiss fredwaa wa rfa
hapo clouds hata sijawahi msikia
Sasa wakuu wakimtoa Nani ataacha usingizi wake aje kufungua redio saa kumi na moja asubuhi. Hapo ndio wamepata kilaza wao wa kumuonea
clouds fm redio ya wanafiki na walamba miguu.mambo ni efm bwana.
Hivi kweli umesoma ulicho kiandika?
Hata pj alikuaga Rfa